Rais Samia alipotoa ruhusa ya kufanyikia Mikutano ya hadhara alisema walio tayari hata Siku ile waanze. Hadi leo nimeshuhudia mkutano mmoja tu wa CCM pale Mtongani.
Chadema waliolilia sana...
Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila...
Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo.
Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini...
Huu ni mtazamo wangu binafsi juu ya katiba iliyopo na umuhimu wake licha ya upinzani kuipigia kelele. Mtazamo wangu ni kwamba katiba ya JMT ni bora sana na kwa sasa ni baadhi ya vipengele tu...
Tuhuma nyingi za kunyosheana vidole ndani ya serikali hazijaanza leo angalia watu wote waliotuhumiwa katika kadhifa mbalimbali za uporaji wa fedha za umma nini walifanya-
Mfano pesa za escrow...
Wameanza kuumbuana.
Mbunge wa Geita Mjini Musukuma amemjia juu Luhaga Mpina kwa kumhusisha na kueneza uzushi Kuhusu Bwawa la umeme la Nyerere kwenye Clip aliyodai ilikuwa ikienea mitandaoni...
Mchungaji Msigwa amesema haiwezekani Wananchi wanalia njaa halafu Serikali inazidi kuongeza Matumizi yasiyo ya lazima ikiwemo ununuzi wa magari ya bei kubwa kubwa.
Serikali ni lazima ibane...
Ndugu zangu watanzania,
Huo Ni ushauri wangu kwa serikali ya Rais Samia kuhakikisha kuwa inawapa kipaombele wafanyabiashara wakubwa wa kitanzania katika kila aina ya fursa ya kibiashara,Tenda...
Mimi ni mwana CCM, Linapokuja suala la uwezo wa Mtu na Akili kubwa huwa haki yake nampa mtu yeyote
Kama ninavyowashangaa wanahisabati na wana sayansi kama Albert Einstein, Isaac Newton na Blaise...
Leo tena Kambenga kanyang'anya mbegu za wanakijiji wakulima lakini akazidiwa nguvu na kukimbia huku wakiacha pikipiki,jioni hii katuma askari waende kukamata watu.Kambenga hana hati ya umiliki wa...
GAMBO UMENISHANGAZA
Nimemsikiliza Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo bungeni akichangia hoja ya kupanda Kwa Bei ya bidhaa.
Gambo amelalamikia Bei ya mchele Kilimanjaro kuwa 3,500/=...
Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos, anakwenda Dakar, anazitafuta pesa za plea bargaining.
Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango...
Mkuu wa Wilaya (DC) Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiondoa katika nafasi hiyo ya U-DC.
Badala yake, DC aliyekuwa Kongwa, John Ernest Palingo anakwenda kuwa DC Mbozi, na Kongwa itasubiri...
Siku tatu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, Kamati Kuu ya Chadema imeazimia kuzindua rasmi mikutano hiyo.
Rais Samia alitangaza...
Katika hali ambayo ilitegemewa na wengi kutokea ya CHADEMA kukosa watu kwenye mikutano yao, imepelekea chadema kutoendelea na mikutano hiyo.
Wote tunakumbuka chadema walikuja na kila aina ya...
Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇
MAONI...
Januari 5, 2011
Arusha, Tanzania.
Hii ni siku ambayo wapenda amani wote hatutakaa tuisahau. Ni siku ambayo tuliondokewa na wapendwa wetu huku wengine wengi wakipata majeraha mabaya akiwemo...
Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezawadiwa kofia ikiwa ni ishara ya upendo na Ndugu. Suleiman Mtumwa Vuai ambaye ni Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Kusini...