Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,854
Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump š¤£.
Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi!
Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo.
Halafu kuna hii hoja ya kwamba nchi za Kiafrika ziliwasaidia baadhi ya Waafrika Kusini kipindi wanapigania Uhuru wao kutoka kwa makaburu, hivyo, na wao sasa waukumbuke wema huo waliotendewa na Waafrika wenzao na waache kuwafukuza hao wahamiaji haramu watokao kwenye nchi za Kiafrika.
Hiyo hoja ni mufilisi na iliyopitwa na wakati.
View: https://youtu.be/Lom_q28LVXs?si=AKVQchHJ_QfhnbMU