Waziri Simbachawene, Zitto akamatwe na kulisaidia jeshi la polisi kumpata kijana aliyempa taarifa kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,085
6,564
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko Mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.

Zaidi, soma:

1) Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...

2) Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Mkoani Kigoma yaungua moto
 
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Ikithibitika ni kweli he!!!
 
Sasa hao waliotumwa wakikubali kwamba ni kweli walitumwa! Nani atafungwa sasa
 
Una hakika hiyo sio project kweli? Msikilize Nape, January, msikilize Bulembo, msikilize Zitto, endelea kusikiliza wengine, project hiyo. Na tutasikia mengi. Yaani anapiga kelele shamba kuna wenzie wamebomolewa vibanda vyao walikua wanapata riziki na mitaji yao kuharibiwa, hao yeye sio tatizo.

Kazima comment mi nimeblock kabisa sitaki kuona upuuzi wake. Kaona kaharibu kwa Mbowe sasa kaamua kuwachota CHADEMA kuwaambia wanachopenda kusikia
 
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Relax mkuu usifoke hivi na kuonyesha ni jinsi gani ulivyokatili na mwenye visasi, hii ni kazi ya polisi kufanya investigation ili kujua UKWELI na huwezi kamata mtu kama ushahidi wa to link with crime huna, huyu kijana ni whistleblower na police wana utaalamu wa kumtafuta na kumhoji ili kujua ukweli, pls ni vema ukawa ni mtu unayependa kuona tunaishi kwa upendo sio hasira na ukatili.
 
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Utakamata wangapi kwa ajili ya kumsafisha DIKTETA wa Chato? Kitu gani wewe unatia wasiwasi juu ya UFEDHULI wa Magufuli?

Huhitaji kumkamata Zitto kujua kuwa Magufuli alikuwa SHETANI. Mambo yote yako kwenye clips zake akiagiza
 
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama Lissu alishambuliwa kwa lengo la kumuua, kuchoma nyumba na mashamba ni kitu gani kingezuia mwenye kusudio hilo ashindwe kumfanyia Zitto huo Umafia?

Mkuu, zipo scenario nyingi zilizofanyika ili kun-weaken upinzani, including hizo za kuchoma nyumba, ofisi, mashamba etc.
 
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Upumbavu mtupu, mbona aliotoa amri kuondolewa kwa kamera eneo analoishi Tundu Lissu anafahamiaka na hakukamatwa
 
Zitto ni mkweli ndio maana Chadema wanamuamini.

Alituambia jinsi Chadema walivyoenda piga magoti kwa mzee Mangula gaidi apewe msamaha.
 
Ni busara kuamini yaliyopita si ndwele tugange yajayo

Nawakumbusha hadi sasa kwa mujibu wa takwimu za Serikali waliotobolewa sindano kuingizwa uteute unaodaiwa kuzuia Corona ni only 2.2% ya Watanzania wote (inajumuisha waliotengeneza vyeti bila ya kutobolewa bega)

Hii ikimaanisha more than 97% ya Watanzania bila ya kujali tofauti za dini, kabila, itikadi ya kisiasa tupo upande wa Hayati JPM…acheni jitihada mfu za kumchafua Gwiji wa Uzalendo Hayati Comrade JPM
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom