Makame Mbarawa anafaa kuwa Waziri wa Nishati; Mwigulu Ofisi ya Makamu wa Rais, January Uchukuzi na Kimei waziri wa Fedha.

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Tumekwama sehemu si Kwa Sababu nyingine Bali Kwa Sababu ya overconfidence na kuwa na viongozi wanaowaza zaidi urais kuliko uwaziri. Kwa lengo la kuweka Sawa upepo na kuboresha utendaji nadhani mabadiliko haya yatakuwa na tija Kwa kiasi flani.
1. Waziri wa Fedha - Mzee Kimei
2. Waziri wa Nishati- Mzee Mbarawa
3. Waziri wa Uchukuzi - January
4. Ofisi ya Makamu wa Rais - Mwigulu

Naamini Kasi itaongezeka
 
Back
Top Bottom