Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hongera sana Full Professor in Econometrics Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako. NB: Naambatanisha...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Poleni na mapambano wana JF, Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kama ambavyo yajieleza hapo juu. Siasa ni sayansi inayo hitaji maarifa makubwa sana kuliko sayansi zingine zote,kwa sababu...
2 Reactions
10 Replies
893 Views
Wananchi v/s Tozo! Wanasiasa v/s Magufuli! Ukiangalia hali halisi iliyoko mtaani nchini nzima,na ukalinganisha na wanachokiongea wanasiasa waandamizi kwa Pande zote za kisiasa nchini. Ni wazi...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Muktadha ni mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo, Dodoma, Lightness Shirima. Kitambulisho chake cha taifa kilizuiwa Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila kwa sababu ya deni...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Taarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Hali ilipofika kwa sasa wabunge wa bunge la ccm lililopita bila kupingwa mambo sio mambo. Humo ndani ni vikumbo tu. Hakuna Mbunge ana mhehimu mwenzake. Mawaziri nao wanawona wabunge kama ni...
3 Reactions
14 Replies
968 Views
"Inasikitisha kuona Viongozi wa Serikali ambao wamepewa dhamana na wana CCM wanapuuza waliyoagizwa na Chama na badala yake wanaendekeza Rushwa, Ubinafsi na Unafiki Mambo ambayo yanalipeleka kubaya...
3 Reactions
4 Replies
767 Views
Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Tundu Lissu amesema wakati anapigwa risasi alikuwa ndani ya gari yake V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya Siti yake na ile ya Dereva. Wakati anapigwa risasi alikuwa amerukia upande wa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Bwana Mwigulu kadai ni CHADEMA wenyewe ndio wamepanga mauwJi ya Arusha kutafuta umaarufu wa kisiasa. Amedai kuwa iweje mpiga video wa U tube achukue tukio zima na asishituke kama vile anachukua...
13 Reactions
411 Replies
34K Views
Wananchi wa Morogoro hususani wafanyabiashara wa Morogoro eneo la Msamvu leo waliungana na wanachadema kupokea salamu za Tundu Lissu. Makamu wa mwenyekiti Chadema na Mgonbea Urasi wa Jamhuri ya...
13 Reactions
60 Replies
4K Views
MNEC Dr. Msukuma amesema kufikisha miaka 46 kwa CCM haikuwa kazi rahisi kwani kuna wakati walikuwa hawavai sare za Chama. Alipokuja Hayati Magufuli ndio heshima ya Chama ikapatikana na mimi pale...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni vema tukaangalia pande zote za shilingi Na Wakulima wanalia kama Walaji au kwa sababu ya bei kubwa sana ya pembejeo? Ni vema Watanzania tumwogope Mungu!
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Clouds tv wamemuonyesha Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia akijiapiza kuwa CCM haitaachia Dola Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe na Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu Wana maoni gani...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau sasa ni Takribani Miaka 3 toka Baba Askofu Mh.Mbunge GWAJIMA akiwa ktk Viwanja vya Kawe wakati akiwahutubia Wananchi wa Kawe wakati wa Kampeni za Ubunge kuwa Endapo atachaguliwa kuwa Mbunge...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, sipendi kabisa kukosa kipindi cha Maswali na Majibu ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Bungeni, ambapo Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo, Kayanza, Peter Pinda, hujibu...
44 Reactions
158 Replies
14K Views
Wakati akiongea na Clouds 360,kuhusu uchakavu wa mtaa wake kule Tegeta! Amekaririwa akisema kwamba. "Wananchi mtaani wanashindwa kununua hata chapati ya shilingi 200/=@!" Huu ni ushahidi kwamba...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
WanaJf, Salaam! Naenda moja kwa moja kwenye agenda. (a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi." (b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mambo yanafikilisha sana katika nchi za Kiafrika. Tunaendelea kuangalia kwa makini namna ambavyo kuna uchochoro wa kuliwa kwa mali za umma na watu binafsi unavyoendelea kutengenezwa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…