Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona CCM wameikamata nchi kila mkoa ,kila kata ,kila wilaya na kila mtaa na vijiji huku CHADEMA wako singida tu pale kiomboi . Kumbe zile kelele za kufungua mikutano wahawakuwa wamejipanga zaidi...
0 Reactions
9 Replies
504 Views
Kama kuna habari inakera, kufedhesha na kutia hasira wiki hii ni jinsi serikali ya Zanzibar ilivyoshughulikia suala la ndizi za mjane aitwaye Veronica Mwanjala. Kosa la Veronica ni kupeleka ndizi...
29 Reactions
98 Replies
6K Views
Hakuna fedhea na utumwa wa fikra kama mwaume mwenye familia kwenda kupiga magoti Kwa kiongozi WA kisiasa wakiamini NI Mungu. Namna Watanzania wanavyomsujudia mwanadamu just Kwa Sababu ana...
2 Reactions
1 Replies
504 Views
Wewe unajua wazi kabisa. Tukipata katiba mpya viongozi wasiowajibika watawajibishwa. Mawaziri hawatakuwa wateule. Bali wataajiriwa wewe na Mwigulu tutawatimua kama mbwa. Wewe umeacha kazi ya...
3 Reactions
2 Replies
494 Views
Uongozi wa awamu ya 5, uligubikwa na kila aina ya uovu, kuanzia kwenye mauaji, utekaji, utesaji, ubambikiaji watu kesi, ugandamizaji wa haki, demokrasia na haki za watu. Watawala waliostahili...
19 Reactions
74 Replies
3K Views
Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!! Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata...
2 Reactions
11 Replies
684 Views
Hongera sana Full Professor in Econometrics Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako. NB: Naambatanisha...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Poleni na mapambano wana JF, Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kama ambavyo yajieleza hapo juu. Siasa ni sayansi inayo hitaji maarifa makubwa sana kuliko sayansi zingine zote,kwa sababu...
2 Reactions
10 Replies
893 Views
Wananchi v/s Tozo! Wanasiasa v/s Magufuli! Ukiangalia hali halisi iliyoko mtaani nchini nzima,na ukalinganisha na wanachokiongea wanasiasa waandamizi kwa Pande zote za kisiasa nchini. Ni wazi...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Muktadha ni mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo, Dodoma, Lightness Shirima. Kitambulisho chake cha taifa kilizuiwa Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila kwa sababu ya deni...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Taarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Hali ilipofika kwa sasa wabunge wa bunge la ccm lililopita bila kupingwa mambo sio mambo. Humo ndani ni vikumbo tu. Hakuna Mbunge ana mhehimu mwenzake. Mawaziri nao wanawona wabunge kama ni...
3 Reactions
14 Replies
968 Views
"Inasikitisha kuona Viongozi wa Serikali ambao wamepewa dhamana na wana CCM wanapuuza waliyoagizwa na Chama na badala yake wanaendekeza Rushwa, Ubinafsi na Unafiki Mambo ambayo yanalipeleka kubaya...
3 Reactions
4 Replies
767 Views
Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Tundu Lissu amesema wakati anapigwa risasi alikuwa ndani ya gari yake V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya Siti yake na ile ya Dereva. Wakati anapigwa risasi alikuwa amerukia upande wa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Bwana Mwigulu kadai ni CHADEMA wenyewe ndio wamepanga mauwJi ya Arusha kutafuta umaarufu wa kisiasa. Amedai kuwa iweje mpiga video wa U tube achukue tukio zima na asishituke kama vile anachukua...
13 Reactions
411 Replies
34K Views
Wananchi wa Morogoro hususani wafanyabiashara wa Morogoro eneo la Msamvu leo waliungana na wanachadema kupokea salamu za Tundu Lissu. Makamu wa mwenyekiti Chadema na Mgonbea Urasi wa Jamhuri ya...
13 Reactions
60 Replies
4K Views
MNEC Dr. Msukuma amesema kufikisha miaka 46 kwa CCM haikuwa kazi rahisi kwani kuna wakati walikuwa hawavai sare za Chama. Alipokuja Hayati Magufuli ndio heshima ya Chama ikapatikana na mimi pale...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni vema tukaangalia pande zote za shilingi Na Wakulima wanalia kama Walaji au kwa sababu ya bei kubwa sana ya pembejeo? Ni vema Watanzania tumwogope Mungu!
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Clouds tv wamemuonyesha Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia akijiapiza kuwa CCM haitaachia Dola Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe na Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu Wana maoni gani...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…