Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Tundu Antipas Lissu ameeleza kuwa Tume ya Uchaguzi ya Taifa haijawahi kuchapisha wala kuonesha kwa umma matokeo ya kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020.
Tume...
Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe...
Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje?
Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess?
Huu sio wakati...
Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Afrika BAVICHA , imepata ugeni mzito kutoka chama cha The Conservatives cha Denmark
Wageni hao ni ndugu Magnus Von Dreiager , Bi Karen Helen Ovesen ambaye ni...
Akihitimisha hotuba yake na Viongozi wa Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini , Rais Samia, amekazia juu ya Suala la Maadili ambalo Mlezi wa Wanafunzi alikua kaligusia Awali.
Japokua Mlezi wa Wanafunzi...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote.
Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza...
CDF mstaafu Davis Mwamunyange ambaye ni mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA amesema wametembelea Bwawa la Nyerere kuangalia uwezekano wa kupata chanzo kipya cha Maji kwa akili ya mikoa ya DSM na Peani...
Kesho Oktoba 28, 2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nianze kwa kuwatakia Uchaguzi mwema wa Kizalendo kwa watanzania wote, ukiwa uchaguzi wa amani, huru na haki kwa watanzania wa vyama...
Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya.
Taifa letu lina matatizo mengi sana...
Katika mahojiano na cloud media lisu ameongea kwamba hayati dr.john pombe magufuli raisi wa awamu ya tano alitamka akiwa ikulu akizungumzia swala la maknikia kuwa wasaliti wa nchi lazima...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Madaktari Bingwa kwa kutibu magonjwa ya Moyo kwa Watoto kutoka Nchini Kuwait wa Taasisi ya...
Anaandika, Almalik Mokiwa
Tangu kuigwa kwa mfumo wa vyama vingi 1992 kumekuwepo kwa uchipuaji wa vyama vya siasa tofauti tofauti vikiwa na malengo tofauti kinadharia na mfanano wa kimantiki...
Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.
Hii ni Ford...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo...
Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu...
Sasa hivi nchi imetulia tulii kama kama maji, hakuna mashindano, hakuna ari ya kutaka kuwa wa kwanza na kuwazidi wengine, hata washindani wa Tanzania kama Kenya wame relaxed na kupumua kwani...
===
Tofauti kabisa na minongo'no na matarajio ya wengi kuwa huenda Mhe Shaka Hamdu Shaka hakufurahishwa kwa kuondolewa kwake kwenye Chama na kuteuliwa kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kilosa...
Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko kuhusu wananchi kutoridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Taasisi zinazosimamia haki Jinai nchini kuanzia kwenye ukamataji wa mtuhumiwa, upelelezi,utoaji wa...
Kamati mpya za kudumu za bunge zimewapa shavu baadhi ya wabunge wa CHADEMA kama inavyoonekana kwenye jedwali
Tunashukuru mahakama na bunge kuona umuhimu wa haki za wanawake hapa Tanzania kwani...
Sasa ni wazi kuwa katika ukanda Wa maziwa makuu Tanzania ndio nchi yenye viongozi Bora siasa safi.
Hakuna mtu anayeweza kubisha juu ya hili.nchi hii sasa inafaa kwa kuishi
Tanzania Ya...