johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,990
- 142,007
CDF mstaafu Davis Mwamunyange ambaye ni mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA amesema wametembelea Bwawa la Nyerere kuangalia uwezekano wa kupata chanzo kipya cha Maji kwa akili ya mikoa ya DSM na Peani
Mwamunyange amesema Ujenzi wa Bwawa umefikia 81.2 jambo ambalo ni zuri sana na DAWASA watakuwa wanaochukua Maji yaliyokwisha zalisha Umeme badala ya kuyaachia yote yaende baharini
Nate mhandisi wa Bwawa la Nyerere amesema Majaribio ya kwanza ya mitambo yatafanyika January 2024
Source Star tv