Bavicha yapata ugeni mzito kutoka Denmark

Bavicha yapata ugeni mzito kutoka Denmark

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,367
Reaction score
283,434
Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Afrika BAVICHA , imepata ugeni mzito kutoka chama cha The Conservatives cha Denmark

FB_IMG_1676107059498.jpg
FB_IMG_1676107053347.jpg
FB_IMG_1676107047146.jpg

Wageni hao ni ndugu Magnus Von Dreiager , Bi Karen Helen Ovesen ambaye ni Mjumbe wa bodi ya Taifa ya vijana wa chama hicho na Bi Camila Mosegaard Kristiansen ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Vijana .

Wageni hao watakutana na Viongozi wa Bavicha tarehe 12 na 13 jijini Arusha katika kikao cha kubadilishana Uzoefu .

FB_IMG_1676106998989.jpg
FB_IMG_1676106992075.jpg
 
Naona cdm wameanza kuwa mawakala wa watalii nchini. Lema amefungua kampuni kampuni ya utalii na wacanada wameanza kumiminika. Hongera kwa kuunga mkono loyotua
 
Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Afrika BAVICHA , imepata ugeni mzito kutoka chama cha The Conservatives cha Denmark

View attachment 2513512View attachment 2513514View attachment 2513515

Wageni hao ni ndugu Magnus Von Dreiager , Bi Karen Helen Ovesen ambaye ni Mjumbe wa bodi ya Taifa ya vijana wa chama hicho na Bi Camila Mosegaard Kristiansen ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Vijana .

Wageni hao watakutana na Viongozi wa Bavicha tarehe 12 na 13 jijini Arusha katika kikao cha kubadilishana Uzoefu .

View attachment 2513527View attachment 2513528
Wapigeni pesa hao washamba wabongo siku hizi wamewashtukia barvicha nyie

USSR
 
Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Afrika BAVICHA , imepata ugeni mzito kutoka chama cha The Conservatives cha Denmark

View attachment 2513512View attachment 2513514View attachment 2513515

Wageni hao ni ndugu Magnus Von Dreiager , Bi Karen Helen Ovesen ambaye ni Mjumbe wa bodi ya Taifa ya vijana wa chama hicho na Bi Camila Mosegaard Kristiansen ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Vijana .

Wageni hao watakutana na Viongozi wa Bavicha tarehe 12 na 13 jijini Arusha katika kikao cha kubadilishana Uzoefu .

View attachment 2513527View attachment 2513528
Eti taasisi bora katika Afrika. Hebu weka mtiririko tuone ipi ya kwanza, ya pili, ya tatu hadi ya mwisho. Kweli mna ndoto za mchana kweupe
 
Zinapigwa nzitonzito. Zinaowaingia haswa utawajua tu. Wanakuwa wa kwanzakwanza kudhihirika. Wanaojikaza watatokea baadae. Kama nawaona hivi... Na bado.
 
Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Afrika BAVICHA , imepata ugeni mzito kutoka chama cha The Conservatives cha Denmark

View attachment 2513512View attachment 2513514View attachment 2513515

Wageni hao ni ndugu Magnus Von Dreiager , Bi Karen Helen Ovesen ambaye ni Mjumbe wa bodi ya Taifa ya vijana wa chama hicho na Bi Camila Mosegaard Kristiansen ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Vijana .

Wageni hao watakutana na Viongozi wa Bavicha tarehe 12 na 13 jijini Arusha katika kikao cha kubadilishana Uzoefu .

View attachment 2513527View attachment 2513528
CDM imekula Hela za wazungu, hapo wanaulizwa kwa nini waliwadanganya kwamba wataingia madarakani, halafu wawape raslimali za taifa, hapo watakuwa wanasaini mikataba kukabidhi mafuta,gesi, madini endapo itaingia madarakani
 
Hongera na kongole kwa vijana wa BAVICHA maana bila kuwa na vijana walio na chachu ya mabadiliko kama waliopo CHADEMA nchi haiwezi kusonga mbele. Tunaona wenzetu kule UVCCM wao hawaongozi chochote zaidi ya kusifu na kuabudu huku kusubiri waletewe boom vyuo vya elimu ya juu ..

TOKA MAKTABA:

VIJANA WA TANZANIA KUANZISHA JUKWAA LAO HURU, NDIYO JIBU LA KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISHWA KTK NGAZI YA MAAMUZI KITAIFA

Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi

Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa bunduki au maandamano ya kuondoa wakoloni, baadaye kulifuatia msuguano wa wananchi wenyewe kwa wenyewe kwa kutoridhishwa na wale waliochukua utawala toka kwa wakoloni.

Sababu mbalimbali zilizua msuguano ktk nchi huru kama udiktekta, tawala kamdamizi ya chama kimoja, utawala mbovu, ubaguzi wa kielimu mfano mtoto aliyesoma shule za kata / st. Kayumba anadanganywa kuwa akihitimu chuo kikuu atakuwa na nafasi sawa na mwenzake aliyesoma St. Mary's akamaliza elimu ya chuo kikuu pia anayekimanya kiingereza / kispaniola vizuri zaidi na wajomba wake wapo ktk nafasi za kiutawala n.k

Vijana wengi pamoja na umasikini wa familia zao wanashawishiwa kwenda vyuo vikuu kwa kuchukua mikopo wakiwa na matumaini ambayo ni hadaa kuwa kwa kumaliza elimu ya juu watakuwa sawa na wale watoto wa tabaka la watawala anasema kiogozi wa vuguvugu la wanafunzi wa chuo kikuu wa Chile kamanda Gabriel Boric mwaka 2017.

Hapo ndipo Wanafunzi waliopo ktk nchi kama Sudan, Chile, Cuba, Afrika ya Kusini, Kenya walishiriki kudai mageuzi ili kuondokana na tawala zilizomgoa mkoloni.

Tanzania vijana hawajishughulishi kuhoji mambo yasiyowaridhishs wananchi kama matumizi mabaya ya kodi za wananchi, tozo ziluxokifu wananchi, demokrasia kubinywa, katiba kandamizi n.k

Chile nchi iliyo na kiongozi kijana Gabriel Boric ambaye ndiye rais kijana kabisa wa kuchaguliwa amezaliwa 11 February 1986 ambaye alichukua madaraka ya urais tarehe 11 March 2022 baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Chile tarehe 19 December 2021 kwa kupata asilimia 60% ktk uchaguzi wa urais.

Gabriel Boric on the Chilean student movement 14 June 2017

Gabriel Boric on the Chilean Student Movement

Likes
59,554
Views
2017
14 Jun
In a presentation at the School of Public Policy on June 7, 2017; Gabriel Boric offers a historical perspective and reflects on lessons learned. He focuses especially on the role of social movements in a well-developed democracy and provides insights on how to sustain collective action over an extended period of time. He speaks also about his transition from being a member of a political movement to being a member of Parliament. Gabriel Boric is a Chilean parliamentarian, and a former leader of the national student movement. He was the president of the Student Federation of the Universidad de Chile, one of the most important student unions in the country. Boric currently represents the Magallanes and Antarctic Region in Chile’s Chamber of Deputies. He was elected as an independent candidate and is not associated with either one of the two political coalitions that have traditionally dominated politics in Chile. Source:

Department of Public Policy at CEU​

Mwanafunzi wa chuo kikuu toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa na matumaini potofu ya kupata ajira au kuwepo mazingira hewa ya kujiajiri.

Vijana vyuo vikuu na mijini pia vijijini badala ya kumezwa na ukiritimba wa UVCCM na ahadi kuwa ni viongozi wa kesho huku watoto wa vigogo wa CCM wanapewa nafasi sasa na siyo kesho wanatakiwa kuunda chombo chao kipya cha kutambulika kama mdau muhimu anayehitaji kuonekana katika majukwaa ya siasa pia ktk vituo vya redio, televisheni na mitandao ya kijamii kuchagiza mabadiliko na mageuzi ikiwemo pia kupewa nafasi nje ya mfumo wa vyama ili wagombee nafasi za kuchaguliwa na wananchi.

Gabriel Boric - The 100 Most Influential People of 2022 - TIME

time.com › collection › gabriel-boric

gabriel boric presidente from time.com
23 May 2022 · He is making Chile the social, economic, and political laboratory of the world once again. Stiglitz is a Nobel Prize–winning economist
 
Tunaona wenzetu kule UVCCM wao hawaongozi chochote zaidi ya kusifu na kuabudu huku kusubiri waletewe boom vyuo vya elimu ya juu ..

Muungano wa UVCCM na TAHLISO

Matumaini ya kuteuliwa katika kinachoitwa 'mkeka' ukiwa wewe ni mwanachama wa UVCCM imewapofusha vijana wengi.

Muda sasa umefika wajiondoe ktk mfumo huu jinamizi unaowalemaza vijana ambao unawaweka pembeni wasiweze kufanya maamuzi na kubakia watazamaji waimba mapambio na kusifu wazee wa CCM

16 December 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Tazama Nguvu Ya UVCCM Kwenye Mkutano Mkuu Wa Umoja Wa Vijana | Tawi La DIT _ Dar es Salaam Tanzania

Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Afrika BAVICHA , imepata ugeni mzito kutoka chama cha The Conservatives cha Denmark

View attachment 2513512View attachment 2513514View attachment 2513515

Wageni hao ni ndugu Magnus Von Dreiager , Bi Karen Helen Ovesen ambaye ni Mjumbe wa bodi ya Taifa ya vijana wa chama hicho na Bi Camila Mosegaard Kristiansen ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Vijana .

Wageni hao watakutana na Viongozi wa Bavicha tarehe 12 na 13 jijini Arusha katika kikao cha kubadilishana Uzoefu .

View attachment 2513527View attachment 2513528
Wili ijayo UVCCM watakusanya wadosi kama 100 ili watangaze nao kupata wageni from Nchi rafiki.
 
11 February 2023
''TAHLISO WALIA HATUNA OFISI, WAOMBA USAFIRI KWA SERIKALI YA MUUNGANO, HALI YA MAISHA IMEPANDA, 'BOOM' IPANDE HADI ELFU 10 .....'' -

rais wa TAHLISO MBELE ya RAIS SAMIA... FEBRUARU 11, 2022 Rais Samia amezungumza na viongozi wa vyuo vikuu wa shirikisho la Tahliso na ZAHLIFE akiwa Ikulu, Dodoma... walia mazingira ni magumu sana sambamba na changamoto kibao waziri wa elimu aliingilia kati ingawa TAHLISO tunataka kuwa huru .... wamlilia rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aokoe jahazi ....
 
Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Afrika BAVICHA , imepata ugeni mzito kutoka chama cha The Conservatives cha Denmark

View attachment 2513512View attachment 2513514View attachment 2513515

Wageni hao ni ndugu Magnus Von Dreiager , Bi Karen Helen Ovesen ambaye ni Mjumbe wa bodi ya Taifa ya vijana wa chama hicho na Bi Camila Mosegaard Kristiansen ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Vijana .

Wageni hao watakutana na Viongozi wa Bavicha tarehe 12 na 13 jijini Arusha katika kikao cha kubadilishana Uzoefu .

View attachment 2513527View attachment 2513528
Wamekuja kutoa basics kuhusu haki za mashoga. Kueni macho na huu uhusiano kuanzia vijana😂
 
11 February 2023
Dodoma, Tanzania

Mh. Rais Samia Hassan - Vijana msishangilie mapema, hili suala ni conditional ..... lazima tuangalie kwanza

Rais Samia amesema hivyo bayana alipokutana na viongozi wa vyuo vikuu wa shirikisho la Tahliso na ZAHLIFE akiwa Ikulu, Dodoma...
 
Back
Top Bottom