Morogoro: Hatimaye Shaka Hamdu Shaka ala Kiapo cha Uaminifu

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,545
2,175
IMG-20230127-WA0189.jpg

IMG-20230127-WA0184.jpg

===
Tofauti kabisa na minongo'no na matarajio ya wengi kuwa huenda Mhe Shaka Hamdu Shaka hakufurahishwa kwa kuondolewa kwake kwenye Chama na kuteuliwa kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kilosa akiondolewa kwenye nafasi hiyo ndani ya Chama aliyeihudumu kwa karibu Miaka miwili,

Hatimaye Leo Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bi Fatma Maswa Shaka Hamdu Shaka akiwa ni mwenye bashasha na furaha sana huku akishangiliwa wakati wote amekula kiapo cha Uaminifu na Utii kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa Viongozi Wengine,

Mtakumbuka Shaka Hamdu Shaka alikuwa ndie Katibu wa Itikadi & Uenezi wa CCM kabla ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ndg Sophia Edward Mjema kuchukua mikoba yake,

Hata Lisu mwaka 2015 alikuwa hakufurahishwa na maamuzi ya mwenyekiti wake.

Lakini kwa sababu ya njaa yake na kulinda kibarua chake, ilimlazima akubaliane tu na maamuzi ya boss wake.

Hapa nina maana kwamba kuna muda mungine inabidi ukubaliane na matakwa ya boss wako ili kulinda heshima au kibarua chako.

Raisi anapokutoa sehemu moja na kukupeleka nyingine huna budi kufurahia, maana kuchukia kwako hakutompunguzia kitu katika utawala wake.

Big up shaka.
 
Namtabiria Nafasi kubwa sana huko Mbele ya Safari, h Shaka ni hazina sio tu kwa chama hata kwa Serikali, Mungu amtangulie ktk kazi zake.
 
View attachment 2497668
View attachment 2497664
===
Tofauti kabisa na minongo'no na matarajio ya wengi kuwa huenda Mhe Shaka Hamdu Shaka hakufurahishwa kwa kuondolewa kwake kwenye Chama na kuteuliwa kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kilosa akiondolewa kwenye nafasi hiyo ndani ya Chama aliyeihudumu kwa karibu Miaka miwili,

Hatimaye Leo Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bi Fatma Maswa Shaka Hamdu Shaka akiwa ni mwenye bashasha na furaha sana huku akishangiliwa wakati wote amekula kiapo cha Uaminifu na Utii kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa Viongozi Wengine,

Mtakumbuka Shaka Hamdu Shaka alikuwa ndie Katibu wa Itikadi & Uenezi wa CCM kabla ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ndg Sophia Edward Mjema kuchukua mikoba yake,
View attachment 2497585
Tabasamu kwenye clip ilikuwa ndogo sana!
 
Jamaa ni zaidi ya kiongozi naamini muda utatuambia, Shaka apewe Ubunge then Wizara itakuwa vema
 
View attachment 2497668
View attachment 2497664
===
Tofauti kabisa na minongo'no na matarajio ya wengi kuwa huenda Mhe Shaka Hamdu Shaka hakufurahishwa kwa kuondolewa kwake kwenye Chama na kuteuliwa kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kilosa akiondolewa kwenye nafasi hiyo ndani ya Chama aliyeihudumu kwa karibu Miaka miwili,

Hatimaye Leo Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bi Fatma Maswa Shaka Hamdu Shaka akiwa ni mwenye bashasha na furaha sana huku akishangiliwa wakati wote amekula kiapo cha Uaminifu na Utii kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa Viongozi Wengine,

Mtakumbuka Shaka Hamdu Shaka alikuwa ndie Katibu wa Itikadi & Uenezi wa CCM kabla ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ndg Sophia Edward Mjema kuchukua mikoba yake,
View attachment 2497585
View attachment 2498007

kutoka kwenye kuchagua viongozi hadi yy mwenyewe kwenda kuapishwa na mkuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom