RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Katika mahojiano na cloud media lisu ameongea kwamba hayati dr.john pombe magufuli raisi wa awamu ya tano alitamka akiwa ikulu akizungumzia swala la maknikia kuwa wasaliti wa nchi lazima washughulikiwe na lisu anasema baada ya hotuba ile alipigwa risasi na watu wasiojulikana na kwasasa anataka kuaminisha umma kwa kumtuhumu mojakwamoja raisi wa awamu ya tano kuwa ndiye mhusika aliyeratibu tukio hilo kitu ambacho hakina ukweli wowote katika mazingira ya ushahidi.
Hata hivyo wengi tumejiuliza lisu anaposema kwamba hotuba ile ilichangia kupigwa kwake risasi je na sisi tuamini kuwa ni kweli alikuwa msaliti katika sakata la makinikia? maana tuliowengi tunasikia kwamba katika simu zake alikuwa akihangaika sana kwa kutuma meseji kwa mwanyika ili apate taarifa za maknikia bahati nzuri serikali kwa kuwa na mkono mrefu wakajuwa anayehujumu swala hilo la maknikia , Na pamoja na yote hayokujulikana kuwa lisu anafanya hayo hakuna mtu au kikundi chochote kilichomfuata kuhusiana na hilo.. Nakumbuka alikuwa akiwaambia umma kuwa tutashitakiwa Miga.
Lisu tunaomba uachane na tabia ya kuchafua watu kwani ushahidi wa mojakwamoja huna na pia kumchafua magufuli usifikri ndiyo kete kubwa katika siasa zako kuweza kuwa na ushawishi kama kuna baadhi ya ccm wamekutuma kufanya hayo basi wamekupotosha pakubwa , jpm alishaondoka hata kama aliumiza upinzani katika siasa yeye alishaondoka hawezi kuonekana tena. jikiteni kwenye kujenga hoja wananchi wawaelewe siyo kila media jpm jpm jpm muacheni apumzike chuki hizo mlizonazo hazitowasaidia chochote katika siasa maana wananchi waliowengi walimwelewa hata msemeje wanawachora tu
Namalizia kusema kwamba kwa mahojiano ya lisu yakusema kwamba hotuba ya jpm ilipelekea kushambuliwa kwake basi yeye mwenyewe inaonesha alikuwa msaliti wa taifa katika sakata la maknikia na ACCACIA .