Sikujua maana ya ‘nguvu ya dola’

Sikujua maana ya ‘nguvu ya dola’

hamumwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
746
Reaction score
664
Ndg wanaJamiiForums
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo

1. Dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari

2. Imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu

3. Viongozi wa kondoo kimyaaa

4. Tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa

WADANGANYIKA hawajui nini kinaendelea zaidi ya matumaini
Ama kweli Dola imeingia hadi mjengoni hoja kwa sasa sio deal ila ni uhasi kwa malikia na kundi lake huko kuzimu
 
Ndg wanajamii forum

1.dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari
2.imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu
3.viongozi wa kondoo kimyaaa
4.tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa

Sukuma gang mnahangaika.

Hili gemu mulianzisha nyie. Feel the pinch now.
 
Ndg wanajamii forum
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo
1.dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari
2.imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu
3.viongozi wa kondoo kimyaaa
4.tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa

WADANGANYIKA hawajui nini kinaendelea zaidi ya matumaini
Ama kweli Dola imeingia hadi mjengoni hoja kwa sasa sio deal ila ni uhasi kwa malikia na kundi lake huko kuzimu
Hivi lipi bora, kuwepo na watu wasiojulikana na Raia kupotea, huku viroba vyao vikiokotwa mitaani na watawala wetu kutuamonisha kuwa hivyo viroba ni vya wakimbizi?

Au kuwepo utulivu kama tunaoshuhudia hivi sasa ukiendelea nchini?

Hakika nyinyi sukuma gang, mtaendelea kuteseka Sana, kutokana na hili badiliko la kisiasa nchini, linalofanywa na mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan.😁
 
Ndg wanajamii forum
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo
1.dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari
2.imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu
3.viongozi wa kondoo kimyaaa
4.tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa

WADANGANYIKA hawajui nini kinaendelea zaidi ya matumaini
Ama kweli Dola imeingia hadi mjengoni hoja kwa sasa sio deal ila ni uhasi kwa malikia na kundi lake huko kuzimu
Kuna mambo unachanganya aidha kwa makusudi,kuifurahisha nafsi yako au ni kwa kutojua.Dola yaweza kuwepo na ipo hasa.Kiñachotumika ni akili pana,kutoka ndani ya maboksi,kuipenda amani,maelewano na maridhiano,hekima na kuongozwa na roho safi.Tofautisha mambo.
 
Wamemis kuteka watu na kuuwa wenzao bila hatia. Walizoea kula nyama za binadamu wenzao.

Zile kauli za kumtukana rais Sasa hazipo kabisa.

Ilitabiriwa kuwa mkombozi anakuja kabla ya 2023.
Screenshot_20220603-064957.jpg
Screenshot_20220603-084714.jpg
Screenshot_20220603-164852.jpg
 
Ndg wanaJamiiForums
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo

1. Dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari

2. Imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu

3. Viongozi wa kondoo kimyaaa

4. Tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa

WADANGANYIKA hawajui nini kinaendelea zaidi ya matumaini
Ama kweli Dola imeingia hadi mjengoni hoja kwa sasa sio deal ila ni uhasi kwa malikia na kundi lake huko kuzimu
sasa kama watu hawatekwi au kuporwa mali zao unataka waongee nini
 
Back
Top Bottom