CHADEMA wajitafakari wapi walipowakosea Watanzania.

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,791
Reaction score
34,792
Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.

Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.

Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.

Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.

20230205_184903.jpg
 
Ianze CCM na wengine watakuwa katika nafasi ya kujitafakari🤔
 
Watanzania wamecho ,haiwezekana takribani miaka ishirini sauti zinazosikika kwenye hiki chama ni Mbowe,Lema ,John Mrema ,na kwa mbali Lisu ,Msigwa,na Sugu .Heche yeye kafanya twiter ni chimbo lake .Ni watanzania wangapi wako twiter? Kwa maani hiyo hiki chama ni lazima kizaliwe upya kabisa kwa sura mpya .
 
Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.

Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.

Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....

Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.

View attachment 2507463View attachment 2507464
Sasa hapo lisu yupo wapi? Unaleta picha za asubuhi Ili kufurahisha chawa wenzako?
 
Watanzania wamecho ,haiwezekana takribani miaka ishirini sauti zinazosikika kwenye hiki chama ni Mbowe,Lema ,John Mrema ,na kwa mbali Lisu ,Msigwa,na Sugu .Heche yeye kafanya twiter ni chimbo lake .Ni watanzania wangapi wako twiter? Kwa maani hiyo hiki chama ni lazima kizaliwe upya kabisa kwa sura mpya .
Mlete mama yako asikike kama inakuuma
 
Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.

Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.

Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....

Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.

View attachment 2507463View attachment 2507464
Wapumbafuuuu watupu hao chadema
Wanataka kushindana na akili na uzalendo wa mtukufu JPM SHANZI TAIPU
 
MBONA HAO WENGI SANA MKUU, KWENYE MAGEUZI HATUHITAJI WATU WENGI.
 
Pole sana
 
Mwaka huu kazi mnayo
 
Kama kawaida yako unaleta picha za saa mbili asubuhi kujifurahisha. Kwa Nini unakwepa picha za Lissu wakati anapokelewa na umati. Mwanza na Musoma ulisema hivyo hivyo.
 
Watanzania wamecho ,haiwezekana takribani miaka ishirini sauti zinazosikika kwenye hiki chama ni Mbowe,Lema ,John Mrema ,na kwa mbali Lisu ,Msigwa,na Sugu .Heche yeye kafanya twiter ni chimbo lake .Ni watanzania wangapi wako twiter? Kwa maani hiyo hiki chama ni lazima kizaliwe upya kabisa kwa sura mpya .

Watanzania wameichoka CCM . Miaka 60 ya Uhuru bado ipo madaraka I na ujing ule ule.
 
Wapumbafuuuu watupu hao chadema
Wanataka kushindana na akili na uzalendo wa mtukufu JPM SHANZI TAIPU

Mbona wewe ndio umetukana JPM Shanzi taipu. Nani ashindane na hayawani na ibilisi Kama yule. Kataka kumuua Lissu kafa yeye. Umeumia Lissu kupokelewa na watu wengi? Na bado.
 
Kamanda ,matusi hayakusadii,badilisheni mbinu ,kuendelea kuwategemea Mbowe na Lema mnajidanganya walai

Kwa hivyo wamtegemee Samiah? Punguzeni madeni na rushwa kwanza ndio mje kuwashauri CHADEMA.
 
Back
Top Bottom