DC Kisarawe, Nikki wa Pili amuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwenye vikao Dodoma

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,186
27,231
Waswahili wanasema nyota njema huonekana asubuhi, hakika ni kweli kabisa.

Mkuu wa wilaya genius Nikki wa Pili, amemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Pwani kwenye vikao ba waziri wa Tamisemi jijini Dodoma.

Hili linapaswa kupongezwa kwa kuwa serikali imeamua kuamini vijana kwenye nafasi kubwa za maamuzi, na Ni nyota njema kwa Nikki wa Pili kuweza kuaminiwa kumuwakilisha mkuu wa mkoa.

Niliwahi kusema hapa Nikki ni alama ya uongozi kwa vijana, anaenda kuandika historia katika nchi kwa utendaji uliotukuka.

Hongera Mh.Nikki kwa kuaminiwa.

#Pwani mpya#
#T2030 SSH#

20220321_173844.jpg
 
#T2030 SSH#View attachment 2159580
Kwenye ile nyimbo yako ya Sitaki kazi, Sitaki kuajiriwa, sitaki kutumwa ulidhani hatukusikii??

Acha dunia izunguke kwenye mhimili wake.
 
Waswahili wanasema nyota njema huonekana asubuhi, hakika ni kweli kabisa.

Mkuu wa wilaya genius Nikki wa Pili, amemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Pwani kwenye vikao ba waziri wa Tamisemi jijini Dodoma.

Hili linapaswa kupongezwa kwa kuwa serikali imeamua kuamini vijana kwenye nafasi kubwa za maamuzi, na Ni nyota njema kwa Nikki wa Pili kuweza kuaminiwa kumuwakilisha mkuu wa mkoa.

Niliwahi kusema hapa Nikki ni alama ya uongozi kwa vijana, anaenda kuandika historia katika nchi kwa utendaji uliotukuka.

Hongera Mh.Nikki kwa kuaminiwa.

#Pwani mpya#
#T2030 SSH#View attachment 2159580
Saafi sana kuna watu watachukia pia
 
Hii taarifa inawasaidia nini wananchi wa kisarawe kujikwamua kutoka katika lindi la umasikini.

Kingine huku kwenye uongozi hakunaga show off za kupiga picha huku ni kupiga kazi kazi ndio itakayokutangaza..unazidiwa hadi na joketi amefanya makubwa sana hapo kisarawe.

Tukubushe pia kila kibao chako cha sitaki kazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waswahili wanasema nyota njema huonekana asubuhi, hakika ni kweli kabisa.

Mkuu wa wilaya genius Nikki wa Pili, amemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Pwani kwenye vikao ba waziri wa Tamisemi jijini Dodoma.

Hili linapaswa kupongezwa kwa kuwa serikali imeamua kuamini vijana kwenye nafasi kubwa za maamuzi, na Ni nyota njema kwa Nikki wa Pili kuweza kuaminiwa kumuwakilisha mkuu wa mkoa.

Niliwahi kusema hapa Nikki ni alama ya uongozi kwa vijana, anaenda kuandika historia katika nchi kwa utendaji uliotukuka.

Hongera Mh.Nikki kwa kuaminiwa.

#Pwani mpya#
#T2030 SSH#View attachment 2159580
Halafu uache kujiita genius mana uko na IQ ndogo sana..

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa hivi ubrother man uko mbali saaaana, anaonekana mzee, itakuwa majukumu
 
Back
Top Bottom