Kwa akili za Kiafrika Demokrasia bado sana. Hayati Magufuli alikuwa sahihi; kujituma ndilo suluhisho

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Tangu wamepewa mamlaka ya mikutano umeona nini cha wananchi kujivunia.

waafrika tunamezeshwa mambo ya ajabu sana na wazungu nasi tunayachukua mazima mazima
Democracy was just a little chunt system of exploitation. Maisha ya Mwafrika yameharibiwa na mzungu kwa kiasi kikubwa sana.

Waafrica ndio watu WA Kwanza kuishi maisha Bora kijamii,kisiasa kiuchumi, pitia taifa la kwanza kemet iliyo Misri kale ni watu weusi sio hao waarabu walioletwa makusudi kuziba history ya ma pyramids na teknolojia kale jinsi waafrica tukivyojenga that why masanam ya mafarao na wengine wamevunja pua kuondoa kuona utofauti WA pua za weupe na waafrica.

Kuna mwana history mzungu mmja alisema sisi ndio tumeiba tamaduni za Africa nakuwalisha zisizo zao. Shuka kush ambayo ni Ethiopia na Sudan Kuna teknolojia nyingi za kale twende Mali mji uliotajiri miaka hiyo Timbuktu ulio WA kisasa zaidi ya miaka 2000 iliyopita kabla hawajaja kuvutuga akina mansa Musa tajiri hakuna aliemfikia mpaka Leo mwafrica why wanaficha Spain, Portugal zilitawaliwa na waafrica.

Ila hofu hakuna Sasa wanaofanya meditation wanasema before nibiru planet kuja Africa itaamka kiuchumi kijeshi kiteknolojia. Walio okoka na hii imehuniriwa na watumishi wengi kuwa nyakati au majira mapya Africa itainuka Kwa nguvu mtaona in 10-15 years tawala ovyu viongozi wasiofaa watakavyo angushwa na wengine hata kutangulia .

Majira mapya Africa yanakuja na hii itapelekea Africa kupigwa vita sio chanjo wataibua magonjwa mengi ila hayatafanikiwa mgomo utakuwepo tu. Kuna UFO zitakuwa zinazunguka wazi angani ndio utaanza kasheshe apo
Notes this

NAKUULIZA WW marekani Kuna DEMOKRASIA mbona Kuna RAISI wa 48 Hadi Sasa lakini hatujawahi sikia Kuna RAISI mwanamke DEMOKRASIA NI UHUNI wa MZUNGU

Nikusaidie bro 2028 ivank anaweza kuwa mwanamke WA kwanza USA. Tunajua Hillary Clinton ndio alishinda urais ila Trump Kwa msaada WA Russia cyber team ikamuongezea kura. Bro ikogo ivi dark deep state ndio inaiongiza USA Kwa mgongo WA deep state Yao utaona izo top strong family zinazomiliki 60 ya rasimalindunian.

Je, wajua Obama ni kituku cha Rothschild family kupitia hitler.baadhi ya maafisa USA wanasema marais huandaliwa mapema either wakiwa vijana au utoto na hupigiwa debe na media zao. Hillary Clinton anajua sababu alitumika kama kipimo japo marekni Kwa oda za illuminati ni ngumi mwanamke kupewa urais ila hili la 2028 ni mjadala mrefu.

Marekani wanajifanyaga kusaidia magonjwa tu, huwezi kusikia hata cku moja Marekani wanajenga lami kwa msaada au wanajenga kiwanda cha simu Dodoma never ila machanjo na upuuzi mwingine ndo kimbelembele.

Unaambiwa Trump alishinda tu Kwa sababu hiyo yaani walikuwa tayari wamchangue hata Lil Wayne lakin Sio mwanamke, japo Hilary alikuwa qualified kuliko wengi. Subiri kama ikitokea Biden akashindwa kuendelea, kama uchaguzi ukifanyike wakamsimamisha yule mama Tayari Democrats wanakosa.

Lakini zaidi wanatawaliwa na chama kile kile miaka nenda rudi. Wachambuzi watakwambia kuwa Republican na Democrats ni chama kile kile kinachofanyika ni maigizo na sense kubwa ni kuwa vyote vinategemea pesa kutoka makampuni yale yale.

Kwa hiyo makampuni huwa yaanamua yaweke pesa wapi kwa muda fulani. Demokrasia ni swala fikirishi tukiweza kuwa na namna yetu inayotufaa kwa mahitaji yetu kama waafrika ama Watanzania bila kucopy huko tutapiga hatua.

USSR
 
Tangu wamepewa mamlaka ya mikutano umeona nini cha wananchi kujivunia

waafrika tunamezeshwa mambo ya ajabu sana na wazungu nasi tunayachukua mazima mazima
Democracy was just a little chunt system of exploitation
Maisha ya Mwafrika yameharibiwa na mzungu kwa kiasi kikubwa sana

Waafrica ndio watu WA Kwanza kuishi maisha Bora kijamii,kisiasa kiuchumi, pitia taifa la kwanza kemet iliyo Misri kale ni watu weusi sio hao waarabu walioletwa makusudi kuziba history ya ma pyramids na teknolojia kale jinsi waafrica tukivyojenga that why masanam ya mafarao na wengine wamevunja pua kuondoa kuona utofauti WA pua za weupe na waafrica. Kuna mwana history mzungu mmja alisema sisi ndio tumeiba tamaduni za Africa nakuwalisha zisizo zao. Shuka kush ambayo ni Ethiopia na Sudan Kuna teknolojia nyingi za kale twende Mali mji uliotajiri miaka hiyo Timbuktu ulio WA kisasa zaidi ya miaka 2000 iliyopita kabla hawajaja kuvutuga akina mansa Musa tajiri hakuna aliemfikia mpaka Leo mwafrica why wanaficha Spain, Portugal zilitawaliwa na waafrica .
Ila hofu hakuna Sasa wanaofanya meditation wanasema before nibiru planet kuja Africa itaamka kiuchumi kijeshi kiteknolojia. Walio okoka na hii imehuniriwa na watumishi wengi kuwa nyakati au majira mapya Africa itainuka Kwa nguvu mtaona in 10-15 years tawala ovyu viongozi wasiofaa watakavyo angushwa na wengine hata kutangulia .
Majira mapya Africa yanakuja na hii itapelekea Africa kupigwa vita sio chanjo wataibua magonjwa mengi ila hayatafanikiwa mgomo utakuwepo tu
Kuna UFO zitakuwa zinazunguka wazi angani ndio utaanza kasheshe apo
Notes this

NAKUULIZA WW marekani Kuna DEMOKRASIA mbona Kuna RAISI wa 48 Hadi Sasa lakini hatujawahi sikia Kuna RAISI mwanamke DEMOKRASIA NI UHUNI wa MZUNGU

Nikusaidie bro 2028 ivank anaweza kuwa mwanamke WA kwanza USA. Tunajua Hillary Clinton ndio alishinda urais ila Trump Kwa msaada WA Russia cyber team ikamuongezea kura. Bro ikogo ivi dark deep state ndio inaiongiza USA Kwa mgongo WA deep state Yao utaona izo top strong family zinazomiliki 60 ya rasimalindunian.
Je wajua Obama ni kituku Cha Rothschild family kupitia hitler.baadhi ya maafisa USA wanasema marais huandaliwa mapema either wakiwa vijana au utoto na hupigiwa debe na media zao. Hillary Clinton anajua sababu alitumika kama kipimo japo marekni Kwa oda za illuminati ni ngumi mwanamke kupewa urais ila hili la 2028 ni mjadala mrefu

marekani wanajifanyaga kusaidia magonjwa tu ,huwezi kusikia hata cku moja marekani wanajenga lami kwa msaada au wanajenga kiwanda cha simu Dodoma never
Ila machanjo na upuuzi mwingine ndo kimbelembele

Unaambiwa Trump alishinda tu Kwa sababu hiyo yaani walikuwa tayari wamchangue hata Lil Wayne lakin Sio mwanamke , japo Hilary alikuwa qualified kuliko wengi. Subiri kama ikitokea Biden akashindwa kuendelea , kama uchaguzi ukifanyike wakamsimamisha yule mama Tayari Democrats wanakosa . Lakini zaidi wanatawaliwa na chama kile kile miaka nenda rudi. Wachambuzi watakwambia kuwa Republican na Democrats ni chama
Kile kile kinachofanyika ni maigizo na sense kubwa ni kuwa vyote vinategemea pesa kutoka makampuni yale yale . Kwa hiyo makampuni huwa yaanamua yaweke pesa wapi kwa muda fulani.
Demokrasia ni swala fikirishi tukiweza kuwa na namna yetu inayotufaa kwa mahitaji yetu kama waafrika ama watanzania bila kucopy huko tutapiga hatua .

USSR
Facto
 
Hao wamarekani unaosema wao ni issue za machanjo tu wala hawajengi barabara za lami mbona barabara kibao ikiwemo ya kutoka Tunduma mpaka sumbawanga imejengwa kwa msaada wa watu wa Marekani na hilo liko wazi kila baada ya distance fulani kibao kimewekwa kueleza hivyo
 
Tangu wamepewa mamlaka ya mikutano umeona nini cha wananchi kujivunia.

waafrika tunamezeshwa mambo ya ajabu sana na wazungu nasi tunayachukua mazima mazima
Democracy was just a little chunt system of exploitation. Maisha ya Mwafrika yameharibiwa na mzungu kwa kiasi kikubwa sana.

Waafrica ndio watu WA Kwanza kuishi maisha Bora kijamii,kisiasa kiuchumi, pitia taifa la kwanza kemet iliyo Misri kale ni watu weusi sio hao waarabu walioletwa makusudi kuziba history ya ma pyramids na teknolojia kale jinsi waafrica tukivyojenga that why masanam ya mafarao na wengine wamevunja pua kuondoa kuona utofauti WA pua za weupe na waafrica.

Kuna mwana history mzungu mmja alisema sisi ndio tumeiba tamaduni za Africa nakuwalisha zisizo zao. Shuka kush ambayo ni Ethiopia na Sudan Kuna teknolojia nyingi za kale twende Mali mji uliotajiri miaka hiyo Timbuktu ulio WA kisasa zaidi ya miaka 2000 iliyopita kabla hawajaja kuvutuga akina mansa Musa tajiri hakuna aliemfikia mpaka Leo mwafrica why wanaficha Spain, Portugal zilitawaliwa na waafrica.

Ila hofu hakuna Sasa wanaofanya meditation wanasema before nibiru planet kuja Africa itaamka kiuchumi kijeshi kiteknolojia. Walio okoka na hii imehuniriwa na watumishi wengi kuwa nyakati au majira mapya Africa itainuka Kwa nguvu mtaona in 10-15 years tawala ovyu viongozi wasiofaa watakavyo angushwa na wengine hata kutangulia .

Majira mapya Africa yanakuja na hii itapelekea Africa kupigwa vita sio chanjo wataibua magonjwa mengi ila hayatafanikiwa mgomo utakuwepo tu
Kuna UFO zitakuwa zinazunguka wazi angani ndio utaanza kasheshe apo
Notes this

NAKUULIZA WW marekani Kuna DEMOKRASIA mbona Kuna RAISI wa 48 Hadi Sasa lakini hatujawahi sikia Kuna RAISI mwanamke DEMOKRASIA NI UHUNI wa MZUNGU

Nikusaidie bro 2028 ivank anaweza kuwa mwanamke WA kwanza USA. Tunajua Hillary Clinton ndio alishinda urais ila Trump Kwa msaada WA Russia cyber team ikamuongezea kura. Bro ikogo ivi dark deep state ndio inaiongiza USA Kwa mgongo WA deep state Yao utaona izo top strong family zinazomiliki 60 ya rasimalindunian.

Je, wajua Obama ni kituku cha Rothschild family kupitia hitler.baadhi ya maafisa USA wanasema marais huandaliwa mapema either wakiwa vijana au utoto na hupigiwa debe na media zao. Hillary Clinton anajua sababu alitumika kama kipimo japo marekni Kwa oda za illuminati ni ngumi mwanamke kupewa urais ila hili la 2028 ni mjadala mrefu.

Marekani wanajifanyaga kusaidia magonjwa tu, huwezi kusikia hata cku moja Marekani wanajenga lami kwa msaada au wanajenga kiwanda cha simu Dodoma never ila machanjo na upuuzi mwingine ndo kimbelembele.

Unaambiwa Trump alishinda tu Kwa sababu hiyo yaani walikuwa tayari wamchangue hata Lil Wayne lakin Sio mwanamke, japo Hilary alikuwa qualified kuliko wengi. Subiri kama ikitokea Biden akashindwa kuendelea, kama uchaguzi ukifanyike wakamsimamisha yule mama Tayari Democrats wanakosa.

Lakini zaidi wanatawaliwa na chama kile kile miaka nenda rudi. Wachambuzi watakwambia kuwa Republican na Democrats ni chama kile kile kinachofanyika ni maigizo na sense kubwa ni kuwa vyote vinategemea pesa kutoka makampuni yale yale.

Kwa hiyo makampuni huwa yaanamua yaweke pesa wapi kwa muda fulani. Demokrasia ni swala fikirishi tukiweza kuwa na namna yetu inayotufaa kwa mahitaji yetu kama waafrika ama Watanzania bila kucopy huko tutapiga hatua.

USSR
Demokrasia ni nini ?

Tuanzie hapa kwanza.
 
Nchi za kiafrika demokrasia haina maana udiktekta ndio unaweza kutufikisha kwenye maendeleo, yani hata kwenye maisha yetu ya Kila siku hatufanyi vitu bila kusemwa semwa au kusukumwa/kulazimishwa hata kitu ni kwa ajili yako binafsi
 
Africa kwa sehemu kubwa imekuwa chini ya madikteta na udikteta kwa zaidi ya nusu karne sasa.
Nchi za kiafrika demokrasia haina maana udiktekta ndio unaweza kutufikisha kwenye maendeleo, yani hata kwenye maisha yetu ya Kila siku hatufanyi vitu bila kusemwa semwa au kusukumwa/kulazimishwa hata kitu ni kwa ajili yako binafsi
 
Mataga wenzako karibia wote wameshukabaliana na hali halisi na wame "move on" , umebaki wewe tu katika denial stage na sasa umefanyika kituko.
 
Nchi za kiafrika demokrasia haina maana udiktekta ndio unaweza kutufikisha kwenye maendeleo, yani hata kwenye maisha yetu ya Kila siku hatufanyi vitu bila kusemwa semwa au kusukumwa/kulazimishwa hata kitu ni kwa ajili yako binafsi
Udikteta upi au kama wa Idd Amin na Jean Bedel Bokassa.
Poleni kwa kufiwa
 
Sehemu kubwa ya bara la Afrika limeongozwa na viongozi madikteta kwa miaka mingi lakini bado watu wao ni masikini wa kutupwa .Kama ingekuwa demokrasia ndio kikwazo cha maendeleo basi Africa ;south America na Asia umaskini usingekuwepo
 
Mifumo yetu hata ukianzia kwenye familia zetu, ni zinatawaliwa na kuongozwa kiudikiteta tupu!

Halafu eti tunataka nchi isiongozwe kidikiteta?

Kelele zote hizi za wengi kutaka kuongozwa kimayai ni njia za wao kutaka kuwa mafisadi na wezi!

Mafisadi na wezi haipasi demokrasia, huku ni kujidanganya tu, nchi hizi za sisi weusi, hazitaona maendeleo kamwe!

Jitu limeiba bilioni of mone mnataka lifikishwe mahakama zinazosimamiwa na watu walewale wenye tamaa?
 
Mifumo yetu hata ukianzia kwenye familia zetu, ni zinatawaliwa na kuongozwa kiudikiteta tupu!

Halafu eti tunataka nchi isiongozwe kidikiteta?

Kelele zote hizi za wengi kutaka kuongozwa kimayai ni njia za wao kutaka kuwa mafisadi na wezi!

Mafisadi na wezi haipasi demokrasia, huku ni kujidanganya tu, nchi hizi za sisi weusi, hazitaona maendeleo kamwe!

Jitu limeiba bilioni of mone mnataka lifikishwe mahakama zinazosimamiwa na watu walewale wenye tamaa?
 
Mifumo yetu hata ukianzia kwenye familia zetu, ni zinatawaliwa na kuongozwa kiudikiteta tupu!

Halafu eti tunataka nchi isiongozwe kidikiteta?

Kelele zote hizi za wengi kutaka kuongozwa kimayai ni njia za wao kutaka kuwa mafisadi na wezi!

Mafisadi na wezi haipasi demokrasia, huku ni kujidanganya tu, nchi hizi za sisi weusi, hazitaona maendeleo kamwe!

Jitu limeiba bilioni of mone mnataka lifikishwe mahakama zinazosimamiwa na watu walewale wenye tamaa?
 
Tangu wamepewa mamlaka ya mikutano umeona nini cha wananchi kujivunia.

waafrika tunamezeshwa mambo ya ajabu sana na wazungu nasi tunayachukua mazima mazima
Democracy was just a little chunt system of exploitation. Maisha ya Mwafrika yameharibiwa na mzungu kwa kiasi kikubwa sana.

Waafrica ndio watu WA Kwanza kuishi maisha Bora kijamii,kisiasa kiuchumi, pitia taifa la kwanza kemet iliyo Misri kale ni watu weusi sio hao waarabu walioletwa makusudi kuziba history ya ma pyramids na teknolojia kale jinsi waafrica tukivyojenga that why masanam ya mafarao na wengine wamevunja pua kuondoa kuona utofauti WA pua za weupe na waafrica.

Kuna mwana history mzungu mmja alisema sisi ndio tumeiba tamaduni za Africa nakuwalisha zisizo zao. Shuka kush ambayo ni Ethiopia na Sudan Kuna teknolojia nyingi za kale twende Mali mji uliotajiri miaka hiyo Timbuktu ulio WA kisasa zaidi ya miaka 2000 iliyopita kabla hawajaja kuvutuga akina mansa Musa tajiri hakuna aliemfikia mpaka Leo mwafrica why wanaficha Spain, Portugal zilitawaliwa na waafrica.

Ila hofu hakuna Sasa wanaofanya meditation wanasema before nibiru planet kuja Africa itaamka kiuchumi kijeshi kiteknolojia. Walio okoka na hii imehuniriwa na watumishi wengi kuwa nyakati au majira mapya Africa itainuka Kwa nguvu mtaona in 10-15 years tawala ovyu viongozi wasiofaa watakavyo angushwa na wengine hata kutangulia .

Majira mapya Africa yanakuja na hii itapelekea Africa kupigwa vita sio chanjo wataibua magonjwa mengi ila hayatafanikiwa mgomo utakuwepo tu. Kuna UFO zitakuwa zinazunguka wazi angani ndio utaanza kasheshe apo
Notes this

NAKUULIZA WW marekani Kuna DEMOKRASIA mbona Kuna RAISI wa 48 Hadi Sasa lakini hatujawahi sikia Kuna RAISI mwanamke DEMOKRASIA NI UHUNI wa MZUNGU

Nikusaidie bro 2028 ivank anaweza kuwa mwanamke WA kwanza USA. Tunajua Hillary Clinton ndio alishinda urais ila Trump Kwa msaada WA Russia cyber team ikamuongezea kura. Bro ikogo ivi dark deep state ndio inaiongiza USA Kwa mgongo WA deep state Yao utaona izo top strong family zinazomiliki 60 ya rasimalindunian.

Je, wajua Obama ni kituku cha Rothschild family kupitia hitler.baadhi ya maafisa USA wanasema marais huandaliwa mapema either wakiwa vijana au utoto na hupigiwa debe na media zao. Hillary Clinton anajua sababu alitumika kama kipimo japo marekni Kwa oda za illuminati ni ngumi mwanamke kupewa urais ila hili la 2028 ni mjadala mrefu.

Marekani wanajifanyaga kusaidia magonjwa tu, huwezi kusikia hata cku moja Marekani wanajenga lami kwa msaada au wanajenga kiwanda cha simu Dodoma never ila machanjo na upuuzi mwingine ndo kimbelembele.

Unaambiwa Trump alishinda tu Kwa sababu hiyo yaani walikuwa tayari wamchangue hata Lil Wayne lakin Sio mwanamke, japo Hilary alikuwa qualified kuliko wengi. Subiri kama ikitokea Biden akashindwa kuendelea, kama uchaguzi ukifanyike wakamsimamisha yule mama Tayari Democrats wanakosa.

Lakini zaidi wanatawaliwa na chama kile kile miaka nenda rudi. Wachambuzi watakwambia kuwa Republican na Democrats ni chama kile kile kinachofanyika ni maigizo na sense kubwa ni kuwa vyote vinategemea pesa kutoka makampuni yale yale.

Kwa hiyo makampuni huwa yaanamua yaweke pesa wapi kwa muda fulani. Demokrasia ni swala fikirishi tukiweza kuwa na namna yetu inayotufaa kwa mahitaji yetu kama waafrika ama Watanzania bila kucopy huko tutapiga hatua.

USSR
I can't tell whether it's ganja, ecstacy or something stronger but surely you need to see a doctor.
Hearsays na stupid conspiracy theories kuviamini bila supporting watertight hard facts lazima uwe mbumbumbu usiyejua chochote hapa duniani.
 
Back
Top Bottom