Wana Mbeya tunakushukuru sana Rais Samia

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Hakika sisi wana Mbeya tumefarijika sana kwa utawala wako mama Samia.

Tunajua kuwa bado una mambo mengi ya kuyarekebisha ikiwemo katiba na tume huru ya uchaguzi.

Leo hii sisi wana Mbeya tunatoa shukrani nyingi kuona umeturudishia furaha zetu zilizo zimwa na wenye nguvu.

Leo hii tumepokea viongozi wa cdm ,Leo hii tumepata nafasi ya kukusanyika kuwasikikiza wanachama wenzetu bila kupigwa virungu na kutupwa lokapu.

Hakika mnyonge mnyongeni lkn haki zake mpeni.

Tumeanzia hapa Mbalizi kuonyesha kuwa tuna uhitaji upinzani wa kweli ndani ya mkoa wetu.

View attachment 2529559
Rais Samia Mungu amlinde. Ni mtu wa Mungu.
 
Sisi wapenzi wa amani, umoja, haki na maendeleo tunapongeza kila lenye tija kwa Taifa.
 
Mataahira kabisa nyie!

Yani mtu anakupokonya hela yako kisha akikurushia unaanza kumshukuru?

Kwahiyo furaha yenu inategemea hisani ya rais?

Mavi matupu
 
Mataahira ni wazazi wako
 
Kumbe bado akili hazijageuka tu,yani mpaka leo bado hujui ni namna gani siasa zinatakiwa kuwa na zinaendeshwaje..!,akili bado zimegandia palepale mlipoporogwa na kuunga juhudi bila kujifunza jinsi ya kunasua..poleni.
 
Disgrace
 
Back
Top Bottom