Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Nov 28, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kile kikao kati ya Rais wa JMT Dr. JK na ule ujumbe wa CDM ukiongozwa na Mbowe kimekwisha ikulu ikiwa ni muendelezo wa mazungumzo yao yaliyo anza jana na kuendelea leo saa 4 asubuhi. Kuna baadhi ya mambo mkuu wa kaya ameyakubali na kuna mengine yamekataliwa katika waraka ule ambao cdm walimuachia jana ikulu.

  Endelea kuwepo tutakupa data zaidi


  MAKUBALIANO HAYA HAPA CHINI:

  [​IMG]
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  haya asante...
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  It shall be well with u!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sawa pamoja mkuu
   
 5. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  akatae lakini awe na uhakika anachokikataa watanzania nao wanakikataa
  vinginevyo.............
   
 6. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo gani yamekubaliwa na yepi yameachwa? Fafanua basi mkuuu. eeeenh!
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Tyson alikuwepo?
   
 8. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  tumeambiwa tusubiri atatujuza zaidi. Tuliza munkari
   
 9. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  alikuwepo.
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Hujamwona kwenye foto alivyokuwa akisinzia?
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu vyanzo vyako vikiwa tayari vimenasa habari kwa uhakika usisite kutujuza, kila la kheri.
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hayo si ndio majembe ya JK akose tena
   
 13. Kisiya Jr.

  Kisiya Jr. Senior Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunajua kikao kimekwisha, na unataarifa ya makubaliano yao. Vinginevo ungekaa kmya tu manake kama badae sisi wenyewe tutapata tarifa kutoka vyanzo vingine. Bro jipange uje na hoja sio kuwapa watu munkari tu hapa.
   
 14. Pathfinder

  Pathfinder Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Pamoja mkuu...
   
 15. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upande wa CDM amesign Mnyika na Upande wa Serikali amesign Nchimbi, dah!
   
 16. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo hayo tu waliyo kubaliana????????????????? Hivi hizo ndo hoja walizoenda nazo pale??????????? Ni zipi JK kazikataa??????????
   
 17. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Invisible, heshima mbele sana Mkuu!!

  Yani kikao cha siku mbili kimehitimishwa na Paragraph Mbili tuu, hii kitu hatuwezi kuipata kwa kina Mkuu.

  Gamba Jipya
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sasa wameboresha wapi?

  Hivi Press release za IKULU HAZINA LETTER HEAD?
   
 19. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hIZI walienda na hizo hoja mbili????????????????????????
   
 20. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hiyo taarifa kwa vyombo vya habari kama ilivyo hapo haina maana yeyote kabisa .... needs lots of explanations!!
   
Loading...