Mji wa Tunduma na CHADEMA ni ngumu kuzitenganisha

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,099
Kwa Mateso waliopitishwa wana Tunduma sikutegemea kama kuna Chadema tena, Lakini cha kushangaza watu wamefurika kwa shangwe kwenye mkutano wa chadema, Furaha na nderamo kama vile watu wao hawakubambikiwa kesi zetu zile za mchongo

Sehemu za watu wanaojielewa hasa kwenye miji mikubwa na majiji, kwao Chadema ni imani, Chadema ni itikadi na chadema ni mioyo yao

Hakika kung'oa bendera za Chadema barabarani na kwenye miti mwaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu, Walisahau kwamba Chadema imekaa kwenye mioyo ya watu na sio kwenye bendera za barabarani

Salute kwa wana Tunduma mmeonyesha siasa ni mioyo yenu wala sio kwa kupelekwa au kutekwa

Miji kama Mbeya, Arusha na Dar es Salaam kwenye uchaguzi halali na Tume huru CCM hatuwezi kutoboa kwenye maeneo hayo hata udiwani tunakosa

Hayo maeneo ya Tunduma Mbeya watu walishaamua kuwa wao ni Chadema sio kwa lile vibe la Leo
 
JamiiForums598543273.jpg
JamiiForums-412574008_512x384.jpg
JamiiForums92984586.jpg
 
Vibe gani wale ni vibe au tumbili wa kukodi 🤣🤣🤣
 
Kulingana na utafiti uliofanyika ni kuwa watz wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne wengi ni wafuasi wa CDM,ambao wengi utawakuta mijini!!na wale wachache wenye elimu ya msingi wanajielewa!!Mi ninavyojua ukitaka kuua upinzani wala usitumie nguvu,lete maendeleo yanayoonekana kwa wananchi wako!!basi umemaliza!!Wamefanya siasa pekee yao kwa miaka 6 lakini leo CDM ikifanya mkutano watu ni nyomi,ni kutokana na kero bado ni nyingi mno!!
 
Back
Top Bottom