Iringa: Yanayojiri kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara wa CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,315
Kwa Mujibu wa Ratiba ambayo imetolewa na Chadema Kanda ya Nyasa , leo 28/02/2023 ni zamu ya Iringa Mjini, na ndio siku ambayo inaenda kuhitimisha awamu ya kwanza ya Mikutano hiyo kwenye Kanda hiyo.

Leo ndio siku ambayo Chama hicho kinaenda kutupa tathmini ya mwitikio wa wananchi kote kilikopita, Mkutano wa leo Iringa mjini, mji unaotajwa kama ngome imara ya Chadema ni Muhimu sana.

Hapa Iringa ndio mahali ambapo Serikali ya Awamu ya 5 Kwa kumtumia mtu anayeitwa Asas ilijaribu kumhonga Meya Kimbe zaidi ya Tsh mil 400 ili aunge mkono juhudi , hata hivyo mpango huo ulibuma , yaani Asas mtu ambaye bado Uraia wake tunauchunguza , eti ndio alikuwa kimbelembele kuibomoa Chadema Iringa ili amfurahishe Magufuli na kumpumbaza ili asifuatilie uharamia wake .

Sasa hapa hatutaki kusema mengi , bali tusubiri tu Hotuba za viongozi halafu tutarudi tena .

Kama kawaida , mimi Mwandishi wenu Erythrocyte nitawaletea yote yanayojiri, TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU .

Usiondoke JF

=========

UPDATES

Kwa umati uliojitokeza Iringa Mjini, hakuna shaka kwamba rekodi zote zimevunjwa

Hakika Chadema Ikiwa kweli Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi imepatikana basi bila shaka 2025 minyororo ya Utumwa inaenda kukatwa.

View attachment 2532909View attachment 2532914View attachment 2532915View attachment 2532918
 
Akadodi ndauli?

Tukiwa pale The Highlands Sec School na Salim huyo Mchungaji Msigwa alikuwa anauza mitumba miyomboni

Hata sasa Mchungaji Msigwa na Kasesela wanafadhiliwa sana na Asas

Kwahiyo upunguze roporopo!
 
Akadodi ndauli?

Tukiwa pale The Highlands Sec School na Salim huyo Mchungaji Msigwa alikuwa anauza mitumba miyomboni

Hata sasa Mchungaji Msigwa na Kasesela wanafadhiliwa sana na Asas

Kwahiyo upunguze roporopo!
Hivi Salim ni kabila gani ?
 
Iringa imekubali

FB_IMG_1677601894128.jpg
FB_IMG_1677601886410.jpg
FB_IMG_1677601880014.jpg
FB_IMG_1677601872251.jpg
 
Back
Top Bottom