Tanzania na Saudia Arabia kushirikiana katika Huduma za Bandari

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
729
473
Balozi Ali Mwadini amekutana na Mhe. Omar Talal Hariri, Rais wa Mamlaka ya Bandari ya Saudi Arabia kujadili mkakati wa kuimarisha ushirikiano kwenye huduma za bandari na kurahisisha usafirishaji wa bidhaa baina ya Tanzania na Saudi Arabia.

Walikubaliana kuanzisha timu ya pamoja itakayokutana kuangalia maeneo muhimu ya ushirikiano kwenye sekta hizo.

20230302_152222.jpg
 
Miaka ya nyuma tulikuwa tunanunua malori na magari used kutoka kwao kwa sababu ya ukaribu naona tutafanya nao biashara tena ila na sisi tujitahidi sio kila kitu kuomba tu

Tuna mifugo mingi sana na wao wanapenda nyama sana
Ufugaji wenye tija unahitajika na pia mifugo isiyokuwa na magonjwa la sivyo wakiona mbuzi wagonjwa tu kwao na tenda wanasitisha mara moja

Kwa hilo hawana mchezo
Sasa mjipange
 
Back
Top Bottom