Riziwani Kikwete pole sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Riziwani Kikwete pole sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jul 22, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Riziwani Kikwete ule mkutano uloanzisha kule bagamoyo na ukasema rais hawezi kutoka kaskazini Maneno hayo yatakutokea puani unajua Kikwete akitoka madarakani wapambe wako wote hutawaona tena watakuwa na Rais Mwingine ambaye hata Kikwete atakuwa shocked.
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mkutano wa lini alisema hivyo?
   
 3. Collins

  Collins Senior Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm ikitolewa madarakani sijui ataficha wapi uso wake
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Ahsante kamanda ujumbe umefika.
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Ccm itoke madarakani?why, kuna nini hadi jambo kama hili litokee. Navojua CCM itatawala milele.
  Call your enemy what you are, and always tell exacact opposite of the truth.
   
 6. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  who is riz 1 by the way?
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Mi nasubiria tu!
   
 8. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hatujafikia hapo mkuu. Lazima tuhubiri siasa zisizo za visasi na tulenge kupata 'smooth transition' kutoka kwa JK kwenda kwa mwingine. Kama alitoa maoni yake ktk mwelekeo huo, heshimu kuwa ni maoni yake. Kubwa ni 'kumthibitishia kuwa inawezekana mkuu wa nchi akatoka kaskazini'. Context pia ni muhimu: kama wakati ule mgombea mwenye nguvu alikuwa akitokea Kaskazin, tuseme Slaa, kusema Rais mwaka huu hatoki kaskazin, naona ni sawa tu. Udhaifu ktk hoja yako ni kuwa sioni uhusiano wa haya mambo matatu: Riz kusema hayo, Usalama wa Taifa na baada ya muhula wa JK kumalizika,
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Kaazi kweli kweli....
   
 10. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,859
  Likes Received: 4,544
  Trophy Points: 280


  Wakuu, labda mimi sijui kusoma, mtoa mada ni wapi amesema yeye anawakilisha mawazo ya CHADEMA?
  Au ndiyo mnakuwa wale wale wa kuona kila anayekosoa mienendo ya serikali ya CCM, viongozi wake au watu walio karibu na serikali hiyo, ni CHADEMA??!!?

  Yaani hii nchi imekuwa vituko sasa, mtu yeyote anayeikosoa serikali na viongozi wake, sasa ni CHADEMA!! Kazi ipo!
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,622
  Trophy Points: 280
  Kama siasa zenyewe ndizo hizi za kutishiana, angalieni msije kuwaponza hao mnaowategemea kuchukua nchi 2015, wazee wa kazi wasije wakawapotezea into thin air kabla ya 2015!. Si niliwawekea hapa kisio la chini la utawala wa CCM kwa nchi hii ni miaka 100!, hansini iliyomalizi na sasa bado 50 mingine!. Kumbukeni hamwezi kugombea kisu, mwenzako ameshika kwenye mpini, kabla kisu hujakishika, unaana kumtishia atakiona cha mtema kuni!, unajua anaweza kukasirika na kuamua sio tuu kukushikisha kwenye makali, bali kukukata nacho!.

  Hakuna ubishi Chadema ndicho chama chenye matumaini makubwa sana kwa sasa, lakini watakaokiponza Chadema, ni watu wenye mawazo kama haya!, mtanisamehe kusema watu wenye mawazo kama haya, hawana akili timamu japo sio lazima mpaka waokote makopo!, hawa ndio ma hate preachers ambao Chadema inapaswa kuwashughulikia kwanza wasije wakakitibulia ushindi laini wanao uotea!.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ndio wale wale lazima utawajua wakikutana
   
 13. SIERA

  SIERA JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,232
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
   
 14. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ni hatari zaidi maofisini ambako kila anayelalamikia uozo na ubadhirifu anaonekana ni chadema.mimi nachoka kabisa jamani duuuh!utafikiri chadema ni wengi kuliko CCM! nahisi hata mwanaCCM akikosoa chama chake naye anaonekana chadema! inawezekana chadema kinapewa uwezo ambao hakina na hiyo itakuwa mtaji mzuri kwao kushinda 2015.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  : Bora ya ccm mafisadi kuliko chadema wadini
   
 16. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Hatuombei lakini maudhui ya uzi huu yana mantiki. Tuangalie historia na uzoefu wa nchi zingine.
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,622
  Trophy Points: 280
  Mkuu Siera, pole sana for you change of heart!, kwa vile hatupigi kura kwa misingi ya udini kwa vile hatutafuti Kadhi!, Kama CCM imechokwa, hata wewe na wenzio wote msipoipigia Chadema, bado ndio itakayopita!, unadhani wenzako ni wapiga kura?. CCM imeshachokwa kanda ya Kaskazini, kanda ya Ziwa dalili sio nzuri!, hizo kanda mbili tuu, zikii back Chadema, hata wote mliobakia muichague CCM, bado matokeo yatakuwa CCM Out!. Nakushauri boda jitayarishe kisaikolojia kukubali "the innevitable" mara tuu yatakapokuwa yale uliyodhani hayawi!.
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  pasco karibu anahamia chadema
   
 19. SIERA

  SIERA JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,232
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hata ccm ikishindwa sio tatizo kwangu ninachojaribu kuonyesha hawa wafuasi wa CDM wasiwakashifu watu ambao nao ni wapiga kura hata Kama watu hatupigi kura kwa misingi ya dini au wewe unaona WAislam hata wasipo vote for CDM wa ka switch kwengine u think CDM watawin !?
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nyie si misukule mtalalamika nini na mmeshakuwa brain washed.
   
Loading...