Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi!

Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na Amani kwa ujumla.

Amani yetu ni utamaduni wetu na utamaduni wetu ni Amani yetu! Hongereni viongozi wote mlioshiriki jambo hili la faida kubwa kwenye nchi yetu!

Lakini Je, Sote tunayo macho ya kuona zaidi ya kuona?

Kuna mmoja anaona maridhiano pekee na kuna anayeona zaidi ya maridhiano!

Kwa vyenga vya leo! Mmh!

Tukutane 2025
 
Kasema kwa sura zile za mabawacha, hawana nia ya kushika nchi 2025
emoji23.png
emoji23.png
Anajua upinzani ukiwa moto,kampeni zitakuwa ngumu. Ukizingatia na yeye ni Orator mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom