Kila nikikumbuka Mkutano wa Chadema Mwembeyanga na Mzee Lowassa kuwa mgombea wao wa Urais, najisemea moyoni "Mungu Fundi"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,106
Pale Mwembeyanga ikatolewa orodha ya Mafisadi wa CCM na Uongozi mzima wa Chadema Mbowe, Dkt. Slaa, Lisu nk wakalaani vikali.

Miongoni mwa waliotajwa kama vinara ni pamoja na mzee Lowassa ambaye Mwaka 2015 Kamati kuu ya Chadema ikampigia magoti awe mgombea wao wa Urais.

Hakika Mungu ni Fundi na 2025 atawashangaza wengi!
 
Sasa hivi wamepagawa na bilion 3, hawasikii hawaambiliki
20230314_120915.jpg
 
hahahah

kutoka kwny list of Shame hadi Siasa za 'maridhiano'

ACT, Chadema na CCM kwny kulinda maridhiano wako timamu kuliko kulinda rasilimali za Nchi

Kati ya hao ACT, CHADENA na CCM, ni chama kipi ambacho kimewahi kupata nafasi ya kulinda rasilimali za nchi na ikashindwa!!!???

Kama jibu unalo,naomba nikuulize,je kuna umuhimu na faida yoyote ya kuendelea kuwa na chama ambacho kimeshindwa kulinda rasilimali za nchi kwa miongo kadhaa!!???
 
Pale Mwembeyanga ikatolewa orodha ya Mafisadi wa CCM na Uongozi mzima wa Chadema Mbowe, Dkt. Slaa, Lisu nk wakalaani vikali.

Miongoni mwa waliotajwa kama vinara ni pamoja na mzee Lowassa ambaye Mwaka 2015 Kamati kuu ya Chadema ikampigia magoti awe mgombea wao wa Urais.

Hakika Mungu ni Fundi na 2025 atawashangaza wengi!
Mungu Fundi sana. Na Lowasa kwa sasa yupo Lumumba anakula mema ya nchi na mafisadi wenzake
 
Pale Mwembeyanga ikatolewa orodha ya Mafisadi wa CCM na Uongozi mzima wa Chadema Mbowe, Dkt. Slaa, Lisu nk wakalaani vikali.

Miongoni mwa waliotajwa kama vinara ni pamoja na mzee Lowassa ambaye Mwaka 2015 Kamati kuu ya Chadema ikampigia magoti awe mgombea wao wa Urais.

Hakika Mungu ni Fundi na 2025 atawashangaza wengi!
Hizi ndio siasa, hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, only a common interests.
P
 
Hata mimi siwalaumu at least waliona kuwa na mtu ambaye alikuwa ndani ya system kidogo ingeweza kushawishi uungwaji mkono kuliko mtu mpya kabisa ambaye angeogopwa kwamba anaweza leta kisasi.
 
Back
Top Bottom