George Sanga atimiza siku 899 gerezani

George Sanga atimiza siku 899 gerezani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,383
Reaction score
289,492
FB_IMG_1678775525593.jpg

Aliyekuwa diwani wa Njombe na wenzake mpaka tunavyoandika hapa angali bado yuko jela kwa tuhuma za uongo za mauaji.

Kijana huyu na wenzake watatu walikamatwa kabla ya Uchaguzi wa 2020 kwa amri ya utawala katili wa awamu ya 5 na ikaelekezwa wabambikwe Kesi ya Mauaji, lengo lao wasishiriki Uchaguzi Mkuu ili Diwani wa CCM apite bila kupingwa.

Yaani Udiwani wa Njombe tu unasababisha mateso kwa vijana wadogo kama hawa, leo tunaambiwa eti tuwaombee waliotenda unyama huu, hii ni kejeli ya kiwango cha kutisha sana!

Leo 14 /3/2023 kijana mwema George Sanga anatimiza siku 899 gerezani kwa kesi ya uongo.

Bali kinachotakiwa kufahamika ni hiki, kila ubaya utalipwa maradufu.
 
View attachment 2550183

Aliyekuwa diwani wa Njombe na wenzake mpaka tunavyoandika hapa angali bado yuko jela kwa TUHUMA ZA UONGO ZA MAUAJI.

Kijana huyu na wenzake watatu walikamatwa kabla ya Uchaguzi wa 2020 kwa amri ya utawala katili wa awamu ya 5 na ikaelekezwa wabambikwe kesi ya Mauaji, lengo lao wasishiriki uchaguzi mkuu ili diwani wa ccm apite bila kupingwa

Yaani Udiwani wa Njombe tu unasababisha mateso kwa vijana wadogo kama hawa , leo tunaambiwa eti tuwaombee waliotenda unyama huu, hii ni kejeli ya kiwango cha kutisha sana!

Leo 14 /3/2023 kijana mwema George Sanga anatimiza siku 899 gerezani kwa kesi ya uongo.

BALI KINACHOTAKIWA KUFAHAMIKA NI HIKI , KILA UBAYA UTALIPWA MARA DUFU
Kama kasingiziwa tuambie ukweli nani akiyemuua yule mtu ili huyu atoke
 
Maskini! Ndo maana sijawahi umia kuondoka kwake....alijivika umungu kweli[emoji24]
Ni miaka 2 sasa toka aondoke!

Mbona mamayo huyu hamtoi huko gerezani?

Alimsamehe Mbowe, na kufuta kesi za kina Lema na Lisu!

Au kwa vile huyo Sanga ni kidagaa tu ndani ya chadema?
 
View attachment 2550183

Aliyekuwa diwani wa Njombe na wenzake mpaka tunavyoandika hapa angali bado yuko jela kwa tuhuma za uongo za mauaji.

Kijana huyu na wenzake watatu walikamatwa kabla ya Uchaguzi wa 2020 kwa amri ya utawala katili wa awamu ya 5 na ikaelekezwa wabambikwe Kesi ya Mauaji, lengo lao wasishiriki Uchaguzi Mkuu ili Diwani wa CCM apite bila kupingwa.

Yaani Udiwani wa Njombe tu unasababisha mateso kwa vijana wadogo kama hawa, leo tunaambiwa eti tuwaombee waliotenda unyama huu, hii ni kejeli ya kiwango cha kutisha sana!

Leo 14 /3/2023 kijana mwema George Sanga anatimiza siku 899 gerezani kwa kesi ya uongo.

Bali kinachotakiwa kufahamika ni hiki, kila ubaya utalipwa maradufu.
Walio uawa wanatetewa na nani?

Je, kuna mtu yeyote mnamshitukia.
 
Kama kasingiziwa tuambie ukweli nani akiyemuua yule mtu ili huyu atoke
Waliomsingizia wanajua kila kitu , Chadema haiwezi kuua wagombea udiwani wa ccm wanaolindwa na Polisi masaa yote ( kumbuka Polisi wanaitumikia ccm ) , halafu chadema haiwezi kuua mtu ambaye itamshinda kwenye uchaguzi , yanini kupoteza nguvu na kuchuma dhambi ?
 
Sidhani kama umejibu kama mtu uliye sawa.
Ni wangombea wapi ndani ya hii nchi wa ccm ambao wana ulinzi tofauti na raisi pekee?
Yaani diwani awe na ulinzi?
 
Ni miaka 2 sasa toka aondoke!

Mbona mamayo huyu hamtoi huko gerezani?

Alimsamehe Mbowe, na kufuta kesi za kina Lema na Lisu!

Au kwa vile huyo Sanga ni kidagaa tu ndani ya chadema?
Labda huenda
 
Kwanini Jiwe alikuwa Katili kuliko hata Shetani ?
 
Waliomsingizia wanajua kila kitu , Chadema haiwezi kuua wagombea udiwani wa ccm wanaolindwa na Polisi masaa yote ( kumbuka Polisi wanaitumikia ccm ) , halafu chadema haiwezi kuua mtu ambaye itamshinda kwenye uchaguzi , yanini kupoteza nguvu na kuchuma dhambi ?
Huyu dogo kwann hua hammtaji majukwani shida ikowapi
 
imekuwaje mlamba asali akawasahau kwenye maridhiano?
 
Back
Top Bottom