Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,792
Bilion 3 zimeipa kiwewe CHADEMA, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo.
Hizi pesa CHADEMA mlizopewa mnapaswa kujenga ofisi ya kisasa, acheni uswahili, lakini kwa ninavyowajua zitaishia kwenye mikoni ya wachache.
Pia niwashauri yale mambo ya kufanya manunuzi halafu vinavyonunuliwa kuandikwa jina la mtu binafsi acheni, safari hii kuna kundi humo limejipanga kuwabumbulua.
Njaa haina baunsa.