Mzimu wa Magufuli unavyotesa watu

Njegele

Member
Aug 3, 2014
61
99
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?

Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU
 
Jpm alikuwa na mazuri mengi kuliko mapungufu,ukiwasikiliza sana vyeti feki utaweza dhania kuwa kwenye uongozi wa jpm tulilazimishwa nchi nzima kulala saa 12 jioni sababu ya udikteta wake.
huu mkoa ninao ishi enzi za jpm mchele wakutumia familia yangu nilikuwa nanunua 2kg sawa 2400 maharage nusu kg sawa na 1000 kwa ujumla nikiwa na 5000 nafanya bajeti lakini leo ukiwa na 10000 hufanyi bajet inayoeleweka. Mpumbavu mmoja anasena eti tukalime mvua zinanyesha

rip my president.
 
IMG_20230313_032911.jpg
 
Sio vyeti feki walamba asali kwasababu Sasa wanauwakika naposho kutoka kwenye chama Chao maana walikauka na genge la wapuuzi wa posho Ili wamchafue magu apotee usoni mwa wananchi , Ili wafanye yao
 
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU
Aliharibu nchi sana na kupoteza fedha nyingi ikiwa ni pamoja na kuficha hela nje ya nchi.
 
Wapi Saanane, Azory, Mawazo ,viroba vya maiti pale CoCo beach,Ruvu etc ,elewa ni binadamu wenzetu wale, huyu rais alikua muuaji, katili wa kiwango cha juu nchi imewahi kushughudia, wewe unalalama humu kwa sababu familia yako ipo around, je umewahi kujiuliza familia ya Azory inauspicious vipi?,je lini watapata closure?,LNG ipo njiani kwenda ile black address
 
Ukitaka kujua habari za JPM nenda kaanzushe stori sokoni, kwenye daladala, vituoni au kwenye pantoni.

Kisha zungumzia habari za kuteka na kuuawa kama watakuelewa.

Hakuna raia mwema aliyetekwa au kuuawa. Kama kuna kundi lilikuwa lunataka kujaribu na kuchafua uongozi wa Magu basi lilikipata cha moto. Mfano yale makundi ya mauaji kule kibiti, amboni, mkuranga na mwanza yaliona joto ya jiwe. Wengi walidakwa na kuuawa maana kiitifaki watuhumiwa wa ugaidi huwa hawapatikani na ushahidi wa moja kwa moja hata kama wameshiriki.

Yawezekana ulikuwa na mawasiliano ya karibu na hivi vikundi au kudhamini japo hukuwahi kufika hata kwenye maskani yao. Wote hawa pia walikamatwa. Ilifika mahali hatukusikia uhalifu wala mauaji.
 
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU
As long as alihusisha aliyoyafanya na KUUA WATU/KUPOTEZA WATU/KUWAFUNGA WATU GEREZANI KWA KESI ZA KUSINGIZIWA-KISIASA basi wote ubageuka kuwa upouuzi. Acha ninunue kilo ya maharage elfu 4 , petrol elfu 3 etc etc lakini nina uhakika kuwa kesho yangu nitaiona! Sitatekwa, sitauawa , sitapotezwa. Ni bora niwe masikini kwenye UHURU
 
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.

Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.

NIMEKUMBUKA TU

Mbona Kama wewe ndio unateseka.
 
Ukitaka kujua habari za JPM nenda kaanzushe stori sokoni, kwenye daladala, vituoni au kwenye pantoni.

Kisha zungumzia habari za kuteka na kuuawa kama watakuelewa.

Hakuna raia mwema aliyetekwa au kuuawa. Kama kuna kundi lilikuwa lunataka kujaribu na kuchafua uongozi wa Magu basi lilikipata cha moto. Mfano yale makundi ya mauaji kule kibiti, amboni, mkuranga na mwanza yaliona joto ya jiwe. Wengi walidakwa na kuuawa maana kiitifaki watuhumiwa wa ugaidi huwa hawapatikani na ushahidi wa moja kwa moja hata kama wameshiriki.

Yawezekana ulikuwa na mawasiliano ya karibu na hivi vikundi au kudhamini japo hukuwahi kufika hata kwenye maskani yao. Wote hawa pia walikamatwa. Ilifika mahali hatukusikia uhalifu wala mauaji.

Acha uongo Nani anamuongelea Magufuli?. Watu Wana mambo yao.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom