Prof. Lipumba: Ukiona Chama cha Upinzani kinamualika Mwenyekiti wa CCM kwenye vikao vyake ujue hao siyo Wapinzani tena!

Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema Ukiona Chama Cha upinzani kinamualika mwenyekiti wa CCM kwenye vikao vyake kama mgeni rasmi ujue hicho siyo Chama cha upinzani tena

Elewa kwamba hicho ni Chama Rafiki wa Watawala, amesisitiza Prof bila kukitaja jina lakini wengi wanakijua
Naunga mkono hoja. Laiti hili lingefanywa na zitto au lipumba mwenyewe mashambulizi humu yangetokea kila pande yakiwaita wasaliti au CCM B. Lakini sasa wanasema viongozi wa chama wana mikakati kabambe...
 
Kwani leprofeser baada ya ule mkesha wa Buguruni wa wiki mbili, bado alibakia kuwa mpinzani🤔
 
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema Ukiona Chama Cha upinzani kinamualika mwenyekiti wa CCM kwenye vikao vyake kama mgeni rasmi ujue hicho siyo Chama cha upinzani tena

Elewa kwamba hicho ni Chama Rafiki wa Watawala, amesisitiza Prof bila kukitaja jina lakini wengi wanakijua
Enzi za Maalim CUF alipokea Rushwa ya umakamu fake wa raisi mbona ulishangilia...
 
Naunga mkono hoja. Laiti hili lingefanywa na zitto au lipumba mwenyewe mashambulizi humu yangetokea kila pande yakiwaita wasaliti au CCM B. Lakini sasa wanasema viongozi wa chama wana mikakati kabambe...
"DOGO" aliyejiteka...
 
CDM ilimwalika rais wa nchi, na rais akasema mbele ya kikao kuwa yeye ni rais wa wote.
Ingekuwa Zitto hata angesema hivyo bado mngeshikilia kuwa ilimwalika mwenyekiti wa CCM. Uzuri ni kama Biblia unaweza itumia justify chochote. Kwani mkuu ina maana juzi ndipo imejulikana kuwa raisi wa nchi anakuwa raisi wa wote?
 
Back
Top Bottom