Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati".... Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR...
2 Reactions
10 Replies
949 Views
Ikumbukwe Tundu Lissu yuko Ubelgiji kwa ajili ya kuhuisha VISA yake na pia kuonana na madaktari wake. Taarifa zinasema Lissu atarejea nchini siku ya Jumapili 19/3/2023 tayari Kabisa kuendelea na...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Hapo mwanzo niliona mtu mwenye cheo aketiye barazani, aliyeamuru nani aongee na nani aketi chini. Nikaambiwa mtu huyu hatendi kama ilivyopaswa. Nikapewa ujumbe nimuonye mtu huyu kabla ya anguko...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mnamo miaka ya mwisho ya uongozi wa awamu ya 4, aliyekuwa Rais wa awamu hiyo Jakaya Kikwete alinukuliwa akisema kwa kuwa tunaingia uchumi wa gesi, yeye ndo angekuwa Rais wa mwisho kuongoza...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Hili tukio la Simba mfalme kule Serengeti halipiti hivihivi. Kuna fundisho kubwa sana linajionyeaha Kwa uwazi sana juu ya umwamba wa kukaa Madarakani muda mrefu Huku umechokwa na unaowatawala...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeangalia Afrika kusini Rais kapigiwa mizinga, gwaride pamoja na kukagua. Haya mambo tumeyarithi kwa wazungu ambao wenyewe walishaachana nayo haya. Sijui kwa nini waafrika tunapenda kukumbatia...
3 Reactions
12 Replies
839 Views
Amini naawaambieni mambo ni Magumu mno huku kitaa lakini tuliozoea kutusemea wameshalamba asali na hawajui wafanye nini. Wametugeuka sasa wanaona kazi zetu za bodaboda na uvuvi ni za hovyo. Bei...
2 Reactions
5 Replies
654 Views
Wataalamu kutoka Taasisi ya kimataifa ya Moody's inayojihusisha kuzifanyia tathimini Nchi mbalimbali dunia ili kujua uwezo wao wa kukopesheka katika masoko ya fedha ya Kimataifa, wamewasili Nchini...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ameandika waraka mzito kuhusu utendaji dhaifu wa watumishi wa Halmashauri ambao wanahujumu miradi huku wakiendelea kukingiwa kifua na mamlaka...
8 Reactions
119 Replies
9K Views
Mwaka 2018 serikali iliyapandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya...
5 Reactions
47 Replies
10K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Profesa Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 266.7 kugharamia ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Kwa siku za karibuni Meya wa Kinondoni, mwenzetu Kumbilamoto amekuwa maarufu au tuseme wazi ametafuta umaarufu kwa kufanya kazi aidha za Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama au OCD kabisa...
0 Reactions
10 Replies
891 Views
Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Wadau nawasabahi. Nimeona niulize tu hatua ambazo zilichukuliwa kwa wale waliohusika walitaka kuchota mabil ya fedha kutoka Benki Kuu wakati wa hekaheka za kifo cha Rais Magufuli walichukuliwa...
0 Reactions
14 Replies
820 Views
Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi. Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii...
7 Reactions
72 Replies
5K Views
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Tanzania, hatujawahi kuwa na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi aliyekuwa neutral, na aliyetenda haki kwa 100%. Lakini katika uovu wote, hakuna mkurugenzi wa Tume ya...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
MBUNGE MHE. ENG. MWANAISHA ULENGE ATOA MCHANGO WAKE KATIKA MKUTANO WA 146 IPU Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ashiriki katika Mkutano wa 146...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Unaweza kukuta Watu wanadhibitiana ukadhani Wanaridhiana haya ni mambo mawili tofauti Kikosi Kazi cha Prof Mkandala kimsingi ndio kiliridhiana na CCM na ndio sababu hata Ripoti iliandaliwa na...
1 Reactions
2 Replies
349 Views
Tanzania Yajiunga tena na Uanachama wa Shirikisho la Kimataifa la Mabaraza ya Sanaa na Utamaduni
0 Reactions
2 Replies
442 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…