Huwa nikitizama hii picha ya Lissu huwa natokwa na machozi, kuna watu makatili sana!

Duc in altum

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,527
2,788
Huwa nikitizama hii picha ya Lissu huwa natokwa na machozi kuna watu makatili sana hapa duniani

Hivi unaweza kumfanyia binadamu mwenzio hivi kweli? Kuna watu wana roho mbaya mnoo!! Imagine huyu mtawala alikuwa na roho mbaya kiasi gani?

Hii picha inanilizaga sana ni iwe dedicated kwa march 17 walau Mungu alitenda

Hii picha daaah yule mtu alikuwa katili sijawahi kuonaView attachment 2552986
Katili bibi yako
 
Lisu anaunga sera ya kusapoti magasho.
Lisu anaishi kwa magasho, analipwa na magasho
Lisu akiwa rais lazima ataruhusu ugasho.
1)Ni wapi na lini Lissu aliposema au kuandika kuwa anasapoti ushoga!!

2)Ni wapa pameandikwa kuwa Ubeligiji ni nchi ya mashoga!!

3)Unaweza leta ushaidi tangible wa malipo anayopokea Lissu kwa hizo tuhuma zako za ushoga!!

Sitaki hearsays za kipindi Cha Uchaguzi wa 2020,leta ushaidi usiyo na shaka
 
Tafuta mainterview yake yutub amekili sana kusapoti magasho huyo kiazi.
timu ya taifa ya ubeligiji imepepepurusha sana mabendera ya magasho kenye wodcup
 
Lisu anaunga sera ya kusapoti magasho.
Lisu anaishi kwa magasho, analipwa na magasho
Lisu akiwa rais lazima ataruhusu ugasho.
Hivi mikopo ya kuendeshea Nchi inatoka wapi?

Misaada ya hadi kujengewa Vyoo inatoka wapi?

Mbona hatuvikatai?

Je unajua masharti ya kupewa msaada?

Think twice.
 
1)Ni wapi na lini Lissu aliposema au kuandika kuwa anasapoti ushoga!!

2)Ni wapa pameandikwa kuwa Ubeligiji ni nchi ya mashoga!!

3)Unaweza leta ushaidi tangible wa malipo anayopokea Lissu kwa hizo tuhuma zako za ushoga!!

Sitaki hearsays za kipindi Cha Uchaguzi wa 2020,leta ushaidi usiyo na shaka
Akiweka ushahidi(solid proofs and facts) ni-tag.
 
Back
Top Bottom