Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
568
1,847
IMG_20230311_080134.jpg

Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!

Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
 
Haipendezi kuukata mkono ilhali maji yamejaa nchini. Lipo la kujifunza pamoja na kuyaacha yasiyo na mantiki.
 
Umeongea kwa uchungu sana, lakini kamwe usiweke nia ,imani , wala tumaini kwa mwanasiasa.
Halafu mwana siasa wa upinzani kama lema.
 
Relax mkuu, Mh.Lema ni politicians anayeongea ukweli sio mwongo, hata wewe unaelewa kuwa bodaboda SIO ajira ya kumfanya mtu aingie kwenye maisha ya middle class, bodaboda ni kiini macho cha wanasiasa wa Chama tawala kuficha vijana wengi wasio na ajira huko,Mh.Lema ameweka ukweli kuwa hakuna future ya maisha bora kutoka kwa ajira ya bodaboda, Nami nitakapo kuwa president kwa 24 hrs,bodaboda wote nitawaondoa kwenye public roads hasa freeways, bodaboda wanavunja sheria za freeways.
 
Lema anakosea jambo, anapoteza muda mwingi kuwasema walioathiriwa na tatizo, pasipo kuwalaumu waliotengeneza tatizo husika.

Matokeo ya uwepo wa bodaboda na Vicoba, ni uwepo wa sera mbovu chini ya serikali ya CCM, zilizosababisha wengi waamue kujistiri kwa kujitafutia vipato vyao kwa njia zao halali, hawa sio wakupotezea muda wako mwingi kuwalaumu.

Hawa ndio wapiga kura wake atakaowahitaji muda ukifika, namna anavyoendelea kuwashambulia kwa kauli zake mbovu kwao, he is creating a seed of his own destruction, asijiamini sana ile Arusha Mjini ni mali yake, kwasasa naona bado anampigia promo Gambo.
 
View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!

Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
Tatizo hutaki kuambiwa ukweli. Tatizo lako ni hilo kwani vicoba si umasikini? Utafanya nini na vicoba? labda kununua masufuria na vibakuli vya plastiki nyumbani na madela! Utalipa ada ya chuo Kikuuu, Feza schools, marian schools? Hata wewe ukipata upenyo hutajiingiza kwenye vicoba! Ni njia ya CCM kuwateka watu wakati wao wana miradi ya mabilioni, wanawatafuta .

Lema asante kwa kutoa elimu, watu wajitambue
 
Kuwe na mikopo inayoeleweka na sio michezo ya vicoba. Lema yupo sawa umaskini umezidi.
 
Hayupo mtanzania asiyetaka kuwa na maisha mazuri, wote tunayataka, hata hao wamama wa Vicoba nao wanayataka pia, sasa muwaambie wakiacha Vicoba waende wapi/ wafanye nini ili kuyapata hayo maisha mazuri?
 
Relax mkuu, Mh.Lema ni politicians anayeongea ukweli sio mwongo, hata wewe unaelewa kuwa bodaboda SIO ajira ya kumfanya mtu aingie kwenye maisha ya middle class, bodaboda ni kiini macho cha wanasiasa wa Chama tawala kuficha vijana wengi wasio na ajira huko,Mh.Lema ameweka ukweli kuwa hakuna future ya maisha bora kutoka kwa ajira ya bodaboda, Nami nitakapo kuwa president kwa 24 hrs,bodaboda wote nitawaondoa kwenye public roads hasa freeways, bodaboda wanavunja sheria za freeways.

Kuna bodaboda wanasomesha watoto, wamepanga nyumba wana familia na wanajenga. Au labda unasema watanzania wote wanatakiwa wawe matajiri?
 
Mleta mada tulia;
1. Hakuna wa kukulaumu wewe kwani hujulikana na huna impact yoyote na popote!
2. Huna akili ya kumshauri mtu na hasa chama kubwa kama CDM wakati hata ndani ya familia yako umeshindwa!
3. sanasana labda uwashauri wanywa ugoro wenzio sehemu za kupata ugoro mkali zaidi!
 
Kuwe na mikopo inayoeleweka na sio michezo ya vicoba. Lema yupo sawa umaskini umezidi.
Kumbe basi kwasababu hakuna mikopo inayoeleweka ndio maana hao wamama wanafanya shughuli za Vicoba, basi mwambieni Lema badala ya kuelekeza lawama zake kwa hao wamama, kuanzia sasa azielekeze kwa serikali isiyotoa mikopo inayoeleweka kwa watu wake.
 
Hayupo mtanzania asiyetaka kuwa na maisha mazuri, wote tunayataka, hata hao wamama wa Vicoba nao wanayataka pia, sasa muwaambie wakiacha Vicoba waende wapi/ wafanye nini ili kuyapata hayo maisha mazuri?
The issue is CCM should not glorify Vicoba! Itaute means za kuwawezesha wanawake kwenda juu!
 
Tatizo hutaki kuambiwa ukweli. Tatizo lako ni hilo kwani vicoba si umasikini? Utafanya nini na vicoba? labda kununua masufuria na vibakuli vya plastiki nyumbani na madela! Utalipa ada ya chuo Kikuuu, Feza schools, marian schools? Hata wewe ukipata upenyo hutajiingiza kwenye vicoba! Ni njia ya CCM kuwateka watu wakati wao wana miradi ya mabilioni, wanawatafuta .

Lema asante kwa kutoa elimu, watu wajitambue
Wewe watoto wako wanasoma Feza? Hujui kuwa bodaboda wengi tu wanasomesha watoto English medium schools? Hata madaktari na mainjini hawana uwezo wa kusomesha watoto Feza.
Yani vicoba na bodaboda unalaumu CCM hivi umetembea kweli hii dunia? Kwa taarifa yako Africa yote na Asia kuna bodaboda nako ni sababu ya CCM?
 
Back
Top Bottom