Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”. Je...
Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi.
Kwa maana nyingune kunguru Mwoga...
Katika miaka miwili ya uongozi wa Rasis Samia Suluhu Hassan mengi yamefanyika katika mkoa wa Arusa lakini nimefurahishwa na yaliyofanyika katika sekta ya afya. Kwa uchache mambo hayo ni pamoja na...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali Imezalisha Ajira 547,600 Kwa mwaka kipindi Cha kuanzia July 1 Hadi February mwaka wa Fedha 2022/2023.
Ajira hizo ni kwenye sekta ya umma na...
Mhe Dorothy George Kilave, akiwa Nje ya Jimbo Kwa Dharura, ameielekeza Ofisi yake, Kufika Hospitali ya Temeke Imefuatiwa na Taarifa Iliyosika katika Wasafi Media Kipindi cha Good Morning...
Marehemu JPM hadi sasa ndiye kitisho kikubwa kwa mrithi wake ambapo Chawa Fc wanapambana bila kupumzika kuchafua kwa makusudi jina lake na legacy aliyoiasisi.
Eneo ambalo kwa haki kabisa marehemu...
Leo Ijumaa (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano mkubwa wa kilimo Ikulu, Dar es Salaam na hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Zuhura Yunus...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi kutanguliza uzalendo kwa taifa lao na kuweka mbele zaidi mshikamano kitaifa Badala ya kukumbatia vyarna...
Jamani hakuna asiyejua kuwa Awami yatano ijapo na iliyoyafanya mazuri kwa wananchi, yote mazuri yanafutwa kwa mabaya waliyooyafanya kwa hao hao wananchi.
Tulipoteza ndugu zetu, tulipoteza mali...
Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM
Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini!
Wamefanya mgomo wa chini chini!
Binafsi...
Tangu kuanza kwa awamu ya tano mwaka 2015 alipoingia madarakani aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na kisha kupokea Samia Suluhu baada ya kifo cha mtangulizi wake, tangu wakati huo...
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imepokea ombi la zuio la kimahakama linalotaka Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) usifanye uchaguzi kwa nafasi za katibu mkuu na mweka Hazina.
Leo...
Ni hilo tu
Mara zote Chadema watamtaja Mawazo, mara Ben mara nani sijui kuwa waliuliwa na Wasiojulikana kutokea CCM lakini kamwe hutawasikia wakimtaja Chacha Wangwe
Kwanini?
Jumaa kareem!
Hali hii ya sintofahamu ilitokea siku ya leo katika ukumbi wa Kuringe Moshi, Ambapo Umeme ulikatika ghafla na kuleta taharuki ya kiusalama Ukumbini.
Ni Vyema Uongozi wa juu wa TANESCO uwe...
Godbless Jonathan Lema hana dhamana yoyote katika nchi hii, Lema sio Mwenyekiti wa Kitongoji, Sio Mwenyekiti wa Mtaa, sio Mwenyekiti wa Kijiji, sio Diwani na wala sio Mbunge.
Inakuwaje watanzania...
Naibu Waziri wa Fedha Mh Chande amesema Tanzania haijashuka kutoka Kiwango cha Uchumi kati Mdogo bali kilichoshuka ni Uchumi wa mtu mmoja mmoja
Chande amesema Wananchi hawana sababu ya kuogopa...
Ikumbukwe kwamba kabla Mapenzi ya Mungu wa mbinguni kutimizwa na Magufuli kutwaliwa muhula wake wa Uongozi wa kidunia kama Rais wa JMT ungekamilika 2025
Hivyo sioni tatizo kwa wale wenye Mapenzi...
Siku za mwisho za mzee wetu magufuli alikiri kuupenda sana wimbo wa mbunge wa chadema profesa Jay
Aliongea akiwa mnazimoja nafikiri,aliongea kwa tone ya chini sana tofauti na alivyozoeleka...
Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais...
Waziri wa Maliasili na Utalii, na Mbunge wa Nzega Vijijini, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amechukua hatua za kisheria kwa wahariri na wamiliki wa...