Serikali: Tanzania bado iko kwenye Kiwango cha Uchumi wa Kati Mdogo, kilichoshuka ni Uchumi wa mtu mmoja mmoja

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,609
141,429
Naibu Waziri wa Fedha Mh Chande amesema Tanzania haijashuka kutoka Kiwango cha Uchumi kati Mdogo bali kilichoshuka ni Uchumi wa mtu mmoja mmoja

Chande amesema Wananchi hawana sababu ya kuogopa kwani nchi bado inakopesheka na Serikali iko Makini kwenye Kuchagua mikopo sahihi

Source: ITV Habari
 
Serikali haijali kushuka kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja inachojali ni kwamba bado tunakopesheka maana fedha zikikopwa watazipiga wao.
 
Wakati tunaingia uchumi mdogo wa kati tulipigiwa hesabu wa msingi wa "per capita" na kuambiwa tuko juu ya dola 1.2 kwa siku, kipimo ambacho ni sahihi kutumiwa. Leo "per capita" imepungua na tunaambiwa tumebaki palepale uchumi mdogo wa kati. Je kipimo kinachotuacha palepale ni kipi??

Nchii hii au ina watu wenye mizaha katika mambo ya maana!!
 
Naibu Waziri wa Fedha Mh Chande amesema Tanzania haijashuka kutoka Kiwango cha Uchumi kati Mdogo bali kilichoshuka ni Uchumi wa mtu mmoja mmoja

Chande amesema Wananchi hawana sababu ya kuogopa kwani nchi bado inakopesheka na Serikali iko Makini kwenye Kuchagua mikopo sahihi

Source: ITV Habari
tafsiri ya uchumi kwa kweli ni pana.
 
Back
Top Bottom