Kwanini CHADEMA wanapoorodhesha wanachama Wao waliouawa huwa hawamtaji Chacha Wangwe?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Ni hilo tu

Mara zote Chadema watamtaja Mawazo, mara Ben mara nani sijui kuwa waliuliwa na Wasiojulikana kutokea CCM lakini kamwe hutawasikia wakimtaja Chacha Wangwe

Kwanini?

Jumaa kareem!
 
Chacha alikufa akiwa anafanya harakati za kudai nini?
Wangwe aliponzwa na hicho kiti👇
images (27).jpeg
 
Chacha alikufa na ajali, tena ambayo haikuplaniwa.
yaani kikorola kilipinduka kile. Kikamsaga.
Auliwe na nani?
Kokapaaaa.
Uzi mzuri weka picha. Wengine hawajui chochote humu.
 
Ni hilo tu

Mara zote Chadema watamtaja Mawazo, mara Ben mara nani sijui kuwa waliuliwa na Wasiojulikana kutokea CCM lakini kamwe hutawasikia wakimtaja Chacha Wangwe

Kwanini?

Jumaa kareem!
Kwakua huyo mlimuua nyie! Mtakuja kumtaja tu
 
Chacha alikufa na ajali, tena ambayo haikuplaniwa.
yaani kikorola kilipinduka kile. Kikamsaga.
Auliwe na nani?
Kokapaaaa.
Uzi mzuri weka picha. Wengine hawajui chochote humu.
kwanini watu wa mara walimpopoa mwenyekiti na mawe siku ya msiba?

tukisema hivyo mbona hata sokoine alikufa ajarini picha zimo humu ama deo filikuiringa
 
Ajali ya gari ya kutengeneza, ya kiongozi wao, huwezi kuwasikia wakiitaja ziadi utasikia alikua msaliti
 
kazi ya mijidume frani inaitwa Brigedia nyekundu ni noma walimkosa tuu lisu pale dom wakati wa kutengeneza drama furani . Ukitaka kufa uwe threat kwa mwenyekiti wetu kipenzi wa saccoss
 
Ni hilo tu

Mara zote Chadema watamtaja Mawazo, mara Ben mara nani sijui kuwa waliuliwa na Wasiojulikana kutokea CCM lakini kamwe hutawasikia wakimtaja Chacha Wangwe

Kwanini?

Jumaa kareem!
Kazi ya mwenyekiti Mbowe!
Alimtumia kijana wake Deus Mallya akaenda kummaliza shujaa wa Tarime!
FB_IMG_1677689905894.jpg
 
kwanini watu wa mara walimpopoa mwenyekiti na mawe siku ya msiba?

tukisema hivyo mbona hata sokoine alikufa ajarini picha zimo humu ama deo filikuiringa
Environmental cause za hizo kesi zingine zina explain kila kitu.
Hushindwi kusema ajali za mabasi zinapangwa wewe. Ndio nyie msemaga ni kafara.
Ajali ya chacha sio staged.
 
Back
Top Bottom