CAG, utaainisha hasara inayotokana na siku ya leo 17 Machi kwa Serikali na Taasisi zake!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,278
Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM

Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini!

Wamefanya mgomo wa chini chini!

Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge, nashangaa hapa ofisini kumbe siyo Mimi tu ambao miili na molali wa kazi hakuna, ni Karibu wafanya kazi wote hapa ofisini hatujivunii kufanya kazi

CAG ukaguzi utaoufanya, Embu Tunaomba uainishe hasara inayopata serikali kwa siku hii moja ambapo kuna migomo inaendelea ya chini kwa chini huku wananchi wakiendelea kumkumbuka aliyekuwa Raisi wao kipenzi JPM
 
Hatutatangaza siku maalum. Yeye sio mwanzilishi wa Taifa. Kwa namna hiyo tutazitoa ngapi? Mkapa, Labda siku na Mwinyi, Kikwete na wengineo. Haiwezekani. Kama mnataka sana fanyeni Ila sio serikali. Yeye sio wa kwanza kufa huko serikalini. Hatuwezi kuabudu mtu. Muabuduni nyie aisee
 
Serikali haitaki kutangaza mapumziko ya kitaifa?

Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini!

Wamefanya mgomo wa chini chini!

Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge, nashangaa hapa ofisini kumbe siyo Mimi tu ambao miili na molali wa kazi hakuna, ni Karibu wafanya kazi wote hapa ofisini hatujivunii kufanya kazi

CAG ukaguzi utaoufanya, Embu Tunaomba uainishe hasara inayopata serikali kwa siku hii moja ambapo kuna migomo inaendelea ya chini kwa chini huku wananchi wakiendelea kumkumbuka aliyekuwa Raisi wao kipenzi JPM

Leo sifanyi kazi nakunywa bia.
Miaka miwili iliyopita siku kama ya leo TZ ilikombolewa toka makucha ya ‘Black Adolf Hittler’,Rais katili kuliko wote kuitawala TZ.

Mama Samia tuvushe mama hauna baya na mtu na Mama ikikupendeza tunaomba hata miili tu ya wapendwa wetu akina Ben Saanane Rabiu,Azor Gwanda na Meya Kanguye wa Ujiji tuzike kwa heshima za kiafrika.

Tunakuomba sana Mama,wewe una utu.
 
Kwahiyo hii nchi tuseme kama ingekuwa imetawaliwa na maraisi 60 halafu maraisi 50 wakafa,kama taifa tutangaze mapumziko ya siku 50 katika mwaka wenye siku 360!!..yaani siku 50 bila uzalishaji hii ni hatari sana yaani..Kama taifa tukifuatilia mihemko kama hii ipo siku itatuponza
 
ten

Tena vifo vikiongozana inabidi muwe likizo
 
Kwani sherehe za watu binafsi zinapelekea serikali itangaze mapumziko?

Tarehe 17/March kwa baadhi ya watu ni sherehe kusherehekea Taifa hili kunusurika kutoka ktk mustakbali mbaya sana
Autocratic leadership is more applicable in business rather than in politics
Definition: Autocratic leadership is a management style wherein one person controls all the decisions and takes very little inputs from other group members.
 
Serikali haitaki kutangaza mapumziko ya kitaifa?

Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini...
Huyo mzee ndio kipenzi cha Watanzania wa wapi labda wa CHATO huko, nani amkumbuke , aliwajali wafanyakazi wa wapi? Huyu alietawala kwa miaka 6 bila kujali kiasi ambacho wafanyakazi wa nchi hii walilipwa , shame
 
Serikali haitaki kutangaza mapumziko ya kitaifa?

Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini!

Wamefanya mgomo wa chini chini!

Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge, nashangaa hapa ofisini kumbe siyo Mimi tu ambao miili na molali wa kazi hakuna, ni Karibu wafanya kazi wote hapa ofisini hatujivunii kufanya kazi

CAG ukaguzi utaoufanya, Embu Tunaomba uainishe hasara inayopata serikali kwa siku hii moja ambapo kuna migomo inaendelea ya chini kwa chini huku wananchi wakiendelea kumkumbuka aliyekuwa Raisi wao kipenzi JPM
CHIZI
 
Ilitakiwa angalau kidogo tu kuweka kumbukumbu zake hata kama hakuna mapumziko unajua ni rais alietutoka akiwa madarakani.
 
Serikali haitaki kutangaza mapumziko ya kitaifa?

Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini...
Kabisa huu ni upumbavu kutumia rasilimali za Nchi kulazimisha kifo Cha Rais.

Hana status yeyote ya pekee kwenye Nchi,tukiendelea hivi tutakuwa Taifa la ajabu sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom