Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa...
44 Reactions
200 Replies
13K Views
Barrick yatoa Msaada wa dola za Marekani mil.30 sawa na zaidi ya Bil.70 za Tanzania. Zitatumika Kwa Ajili ya Ujenzi wa Mabweni 275 Madarasa 1094 Kazi iendelee
0 Reactions
16 Replies
835 Views
Ni angalizo tu kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu kwamba wanamkubali kwa Kiasi anachofanya kutetea haki zao likiwamo hili la Mfumuko wa Bei yaani inflation. Atazidi kukubalika ila...
4 Reactions
9 Replies
906 Views
Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Lula ilinyoosha mstari barabara,wezi wa mali ya umma hawakuwa na amani hata kidogo,wazembe,wavivu habari waliipata sawasawa, viongozi wababaishaji walipigwa grill vya kutosha Kiongozi wa sasa...
4 Reactions
9 Replies
644 Views
Niko hapa kushuhudia hili tukio la kujaza maji bwawa la Nyerere, katika yaliyojiri mojawapo ni hili tukio Njooni tubadilishane uzoefu ya makofi haya mengi japo waliosimangwa kwenye mkutano mkuu...
22 Reactions
238 Replies
13K Views
Kauli hii ilitamkwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, siku wanaccm wazalendo wakichoka dhulma dhidi ya wanaccm maslahi ndipo nchi hii itapona, kwa sasa tuendelee kunywa...
2 Reactions
2 Replies
418 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17%...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu wake Mhe. Hamis Mwinjuma leo Machi 20, 2023 wamefanya ziara ya kikazi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es...
1 Reactions
1 Replies
448 Views
Siasa ni Sayansi Kuna aliyewahi kufikiria Bawacha na UWT watakuwa Wamoja? Au Bavicha na UVCCM? Au Kamati Kuu ya Chadema na ya CCM? Leo Bawacha walijaa kwenye Sikukuu ya miaka 2 ya Rais...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo...
1 Reactions
3 Replies
905 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 03/19 - Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 69/21 Refu Pamoja na Mahafali ya tatu...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukiwa neutral Hapa Jf ni rahisi kuona makundi ya Wapambe yanayofanya vizuri na yale yanayofeli Kwa mfano kundi la Makamanda walamba asali ndio linafanya vizuri hadi sasa Katika kuitetea uongozi...
9 Reactions
13 Replies
869 Views
Niwe muwazi na mkweli. Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023. Tumepatwa...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
WanaJF, Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Bravo Madame Presidaa kwa kuhaidi na kutoa sh. 5 M kwa kila goli linalofungwa katika mashindano ya CAF. Beyond reasonable doubt matokeo tumeyaona na timu zetu ziko robo fainali, hii kitu...
2 Reactions
3 Replies
867 Views
Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo. Kilichonifurahisha leo ni namna ambavyo siku hiyo...
21 Reactions
50 Replies
3K Views
Naona yanayoendelea kwenye media kuwa jpm alitesa watu hiyo ni dhana ya kiini macho kwenye umma wawatanzania ni kwamba utawala wake alihimiza walipe kodi stahiki na mamlaka ya mapato walikuwa...
0 Reactions
3 Replies
443 Views
Wacha inyeshe tuone panapovuja! Truly kama Taifa tulipita kwenye kipindi kigumu mnoo!! NB; kusema ukweli sio dhambi ingawa wanadamu hawataki kusikia ukweli! == "Ninachokiona kuna uwezekano wa Rais...
6 Reactions
71 Replies
3K Views
Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi Haya ndio...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…