Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya...
Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi
Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana...
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano huo alisema kama kweli wote waliosimama na kumsifia Dkt. Samia Suluhu wameongea wakimaanisha basi...
Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi.
Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted...
Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia...
Picha: Erick Kabendera
Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala, Ndugu Erick Kabendera, ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na...
Waziri wa Maji ameshiriki kikao cha Shukrani na kuagana na watumishi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York. Watumishi hao wameongozwa na Mhe. Balozi...
Nimegundua kuna mkanganyo unaoendelea kwa makusudi kwamba tuna Rais wa awamu ya 6 baada ya kifo cha wa awamu ya 5.
Sio kweli, tunaye Rais wa 6 katika awamu ya 5 baada ya kifo cha Rais Magufuli na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya Multchoice kutoka Tanzania na Afrika ya Kusini na Uganda kwa lengo...
Benki ya Dunia WB imeahidi kutoa Msaada wa dola milioni 300 sawa na Bilioni 700 Kwa Ajili ya sekta ya Kilimo.
---
Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha Dola za Marekani milioni 300 ambazo ni...
Kwa mujibu wa report hapo chini, Tanzania inatarajia kukusanya T26 mwaka wa fedha 23/24 na zaid ya 40% ya makusanyo yote ya kodi na yasiyo ys kikodi ni kwa ajili ya mishahara, aslimia nyingine...
Jarida maarufu la biashara na linalofuatiliwa duniani kote la Business Insider lenye Makao Makuu yake Jijini New York, Marekani limeitaja Tanzania kuwa moja ya mataifa machache ulimwenguni...
Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya...
Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona.
Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya...
Hivi nyie CHADEMA ni nani aliye waroga?
Anaandika Almaliki Mokiwa.
Katika nchi yetu ya amani (Tanzania) tumebarikiwa kuwa na vyama vingi vya siasa, wakati ACT, CHAUMA, CUF na vyama vingine kama...
Moja ya nukuu ya Hayati Magufuli kuhusu madawa ya kulevya
'Ukiwagusa hawa waliokuwa wanapata fedha kwa madawa ya kulevya usitegemee kama watakupenda na mimi sitaki wanipende lakini vijana...
Uongozi wa Rais Samia Suluhu ambao umeimarisha utawala bora, utengamano wa kisiasa na utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo, umezidi kumpa mvuto kwa watanzania wa kada tofauti, ambao wengi...
Uwazi katika Matumizi ya fedha za Serikali huleta Nidhamu na kuimarisha Utendaji wa Watumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.
Huziba mianya ya Wizi na Ufisadi, pia hutoa...
DC JOKATE: WANANCHI WASHIRIKISHWE KATIKA HATUA ZOTE KATIKA MIRADI YA MAENDELEO ILI KULETA UFANISI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe Jokate Mwegelo amewataka wanaotekeleza...