Nimemsikiliza CAG na nakubaliana na Mchungaji Msigwa Serikalini kuna Upigaji mkubwa kila mahali

Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha moto

Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?

Ramadhan kareem!

cc: Mchungaji Msigwa Chadema
Hata kama ungekuwa ni wew musee lazima ungepiga tu, na kila mpigaji anapiga kulingana na pale alipo. Kila mtu aliyenanafasi analamba asali bila uoga., watu walikuwa na uoga kipindi cha Mwamba tu. Kwa sas daaah kila mtu anachukua kadri awezavyo.,
 
Yaani unadhani mtu mzima kujiita chawa ni burebure tu? Watu wanakwiba hatari
Kwani aliwakataa au aliwakubali wawepo? Hadi RC anazindua ujue si bure. Huu ndio muda wao, tusubirie zamu ya wengine, zamu ya waleee isha koma kitambo
 
Hata kama ungekuwa ni wew musee lazima ungepiga tu, na kila mpigaji anapiga kulingana na pale alipo. Kila mtu aliyenanafasi analamba asali bila uoga., watu walikuwa na uoga kipindi cha Mwamba tu. Kwa sas daaah kila mtu anachukua kadri awezavyo.,
Mzee Mgaya kapasua Kishikwambi Chake!
 
Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto

Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?

Ramadhan kareem!

cc: Mchungaji Msigwa Chadema
Tuendelee kuwapiga Pesa milele
 
Dawa ni ukipata na wewe nafasi ya kupiga pigaaaaa usubiri watanzania wafunguke ni kupoteza muda,,,, mambo ya mpira na wasanii yana wazidi uwezo akilizipo huko.....wewe piga ukipata upenyo
 
Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto

Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?

Ramadhan kareem!

cc: Mchungaji Msigwa Chadema
Ccm ni janga la kitaifa ni hatari kwa taifa letu kila mwaka ripoti inaonyesha wanavyogawana kodi zetu lkn hakuna hatua zinazochukuliwa tunahitaji katiba mpya tuiondoshe ccm
 
Hizi habari za CAG tulizimiss sana enzi za mwenda zake. Maana zilikuwa zinafichwa sana. Au kipindi hicho CAG hakuwepo, mbona hatukuwahi kusikia report kama hizi? Zaidi ya ile report ya CAG Assad yenye loss ya Trillion 1.5, ambayo nayo ilikaliwa na spika Ndungai bila kujadiriwa bungeni!
Kweli mama Samia umekuja kunyosha uongozi wa kisheria! Uliokuwa umepotezwa na mtangulizi wako.
 
Back
Top Bottom