Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nshachoka hata kuhesabu. Hivi tuko na miaka mingapi kweli ya uhuru... Any way, whatever the number is ila bado hatuko serious. Hatuna dira ya Taifa ya maendeleo, hata maandalizi tuu ya kuwa na...
2 Reactions
2 Replies
991 Views
Ameongazana na mawakili 8. 6 wa nchini Tanzania na 2 kutoka Uingereza. Wakati Yusuf Manji akitoka nje ya kituo, Polisi waagizwa kumzuia asiondoke, amerudishwa kituoni. Mwenyekiti wa Yanga Yusuph...
57 Reactions
1K Replies
183K Views
MWENENDO wa mambo ndani ya Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini si shwari. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka vyanzo vyake vya habari vilivyoko ndani ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kuna miradi mingi iliyoanza muda mrefu na mpaka sasa haijakamilika Bandari kavu Vigwaza Huu ni mradi ambao ulianza muda mrefu sana , na katika mipango walioiweka , ilitakiwa mpaka...
1 Reactions
6 Replies
997 Views
Dalili na mipangilio ya awali imeanza kujionesha kwamba sasa team Mwigulu na team Makamba jr ndio zimejipanga vizuri kimkakati kuiendea 2030 Tuombe Uzima Kesho ni Jumapili ya Mitende!
5 Reactions
104 Replies
7K Views
Chama tawala nao wamesema: Hiki angalau kimtindo, kitakuwa kimeumana. Ngoja tuone. ----- Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr...
16 Reactions
111 Replies
6K Views
Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki. === Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze...
9 Reactions
146 Replies
16K Views
Rais John Magufuli asubuhi ya leo Mei 21, 2019 atatembelea Makao Makuu ya TTCL na kupokea gawio kwa mara ya pili mfululizo. Gawio hili linatajwa kuwa ni kubwa zaidi ikilinganishwa na mwaka jana...
8 Reactions
231 Replies
27K Views
1. "POCHI LA MAMA LIMETEMA." 2. "MIKOPO HII INAELEKEZWA KWENYE MAENDELEO NA ELIMU" UZI huu umeandikwa na Deograsius Andrew Mara kadhaa CAG amekua akiripoti upotevu wa fedha lakini Tanzania sauti...
1 Reactions
7 Replies
657 Views
Mtandao wa kukata tiketi wa kampuni ya Air Tanzania kwa miezi kadhaa sasa umekuwa chini kwa makusudi kabisa na inaonekana hamna anayeguswa na tatizo hili kwenye uongozi wa nchi yetu. Wateja...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wana JF habari zenu. Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Makala ifuatayo kutoka The Chanzo inawatia Moyo wale waliothubutu kuleta mageuzi ya Kilimo Nchini Kupitia Mpango wa Vijana BBT. Hapa Tanzania ukitaka kufanya jambo kubwa usiwasikilize loosers...
6 Reactions
124 Replies
6K Views
"Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Dar es Salaam. Nani waliochota mabilioni haya. Hili ndilo swali ambalo wengi wanajiuliza baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kubaini ufisadi wa Sh4.8 bilioni...
16 Reactions
80 Replies
8K Views
Mimi nashauri kwamba serikali isiyoweza kusimamia vyema mali za Watanzania ndiyo inayotakiwa kufutwa. Maana yake ni kwamba hawa viongozi hawana uwezo wa kuwatumikia waTanzania kwa kuacha mali zao...
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada? #Unapoitazama SGR unaona...
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Mwanancha namba moja. 1. Rais Samia Suluhu Hassan 2. J.M Kikwete. 3. Edward N. Lowasa 4. Simbachawene. 5. Mizengo Kayanza Pinda. 6. Benard Membe. 7. Hussein Mwinyi. 8. Jokate Mwegero. 9. Masauni...
2 Reactions
61 Replies
4K Views
Wiki jana nilikuwa Posta DAr kwenye hicho kituo ambacho wanasiasa wanakisifia eti ni "one stop center" ambacho kinahusisha Maafisa Biashara, watu wa Brela, RITA, TRA, NIDA, Benki ya CRDB na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…