CAG:TTCL haijui inayemdai Sh21 bilioni

Oldmantz

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
428
996
Dar es Salaam. Ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti Mkuu na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ulibaini kuwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lilikuwa na madeni ya Sh21 bilioni ambayo uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika.
Hayo yamebainishwa na CAG kupitia ripoti yake ya Mashirika ya Umma ya mwaka 2021/2022 iliyotolewa leo Alhamisi Aprili 6, 2023.
CAG ameeleza katika ripoti hiyo kuwa katika kiasi hicho, Shirika la Mawasiliano Tanzania lilitoa mapendekezo kwa Bodi ya Shirika kufuta deni la Sh7.51 bilioni.
“Ninaamini kuna uwezekano kuwa madeni yasiyothibitishwa yalikuwa ni madeni hewa, hivyo kuna uwezekano wa madeni yasiyokuwa na nyaraka yamejumuishwa kwenye kitabu cha mahesabu,” alisema CAG Charles Kichere.
Kutokana na hilo alipendekeza Shirika la Mawasiliano Tanzania liombe kibali kutoka kwa Msajili wa Hazina na Wizara ya Fedha na Mipango ili kufuta madeni ambayo hayawezi kurejeshwa.
Shirika la Mawasiliano kwa mujibu wa ripoti hiyo ni kati ya yale yaliyo na deni kubwa kuliko mtaji walionao.
Ripoti inaeleza kuwa jumla ya deni ambalo shirika hilo linadaiwa ni asilimia 54 zaidi ya mtaji walionao.
Ripoti inaonyesha kuwa shirika la Mawasiliano lina jumla ya deni la Sh349.9 bilioni huku likiwa na mtaji wa Sh227.8.

MWANANCHI
 
*****!!!
 
Matatizo ya nchi hii unadhani huwa ni magumu basi kuyabaini ata ukiwa nje ya serikali.

CAG yupo sahihi kabisa hayo ni madeni hewa ya kutunga tu (creative accounting) ili kunenepesha vitabu lakini hayapo.

Hizi ndio sababu mara zote binafsi huwa napiga kelele hizi taasisi za serikali aziandai statements zao kwa kufuata regulatory frameworks za kimataifa na hiyo inatoa nafasi za creative accounting. Hiyo tu tosha mtu makini kutoamini hesabu za shirika na akipekuwa kukutana na madudu ya kutunga sio jambo la kushangaza.

Shida ni kuwapa watu nafasi kubwa watu ambao elimu yao ya biashara tia maji tia maji, wao wanadhani kila mtu hamnazo kama wao ata external auditor hajui criteria za asset recognition na tracing system inayohitajika ili kuweka hiyo potential income kwenye vitabu.

Ni wakati sasa wa kumuondelea raisi majukumu ya kuteua hizi nafasi za taasisi za kibiashara na wao wanachangia kuweka incompetent people kwenye hizi nafasi, uongo wa kishamba kweli ambao CAG ameubaini.
 
Back
Top Bottom