Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,714
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kimeingia Mjini Songea na kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara uliohudhuriwa na mamia ya wananchi .
Chama hicho kilitumia fursa hiyo kutoa elimu kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo kilisisitiza kwamba mambo haya ndio Chimbuko la Utawala bora .
Habari kamili hii hapa .
Chama hicho kilitumia fursa hiyo kutoa elimu kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo kilisisitiza kwamba mambo haya ndio Chimbuko la Utawala bora .
Habari kamili hii hapa .