Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka...
2 Reactions
71 Replies
3K Views
Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania. Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Wizara ya ujenzi inaweza kuandaa mkakati wa kuibua wakandarasi wadogo, hasa wanaomaliza vyuo na kuwa na uzoefu ambao wataona unafaa. Wawatake kuunda kampuni, na wawape kipaumbele Cha tenda za...
1 Reactions
10 Replies
909 Views
Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili...
1 Reactions
6 Replies
783 Views
Wiki iliyopita nilienda ofisi za CHADEMA pale Ufipa Kinondoni kuonana na kiongozi fulani katika masuala ya kumjenga kiuongozi, siasa sio uadui. Basi baada ya muda nikaomba niende washroom kidogo...
18 Reactions
126 Replies
7K Views
Nii wazi kabisa Mheshimiwa Mwigulu Nchemba waziri wa fedha JMT. Yuko katika wakati mgumu kuelekea kwenye mjadala wa uchambuzi wa hoja ya ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Leo Tarehe 7/4 /2023 , kama zilivyo siku kama hii za miaka yote iliyopita ni siku ya kumkumbuka Mzee Karume ama inajulikana kama Karume Day. Ni siku ambayo Wazalendo hukumbuka mema na mazuri ya...
1 Reactions
8 Replies
816 Views
Nipo hapa nimetulia, nasubiri kuona watu wakiparuriwa. Je, watapururiwa kwa style ipi? Ikiwa kuna vyama vya kupamba na kusifia, vyenye wenyeviti na makatibu? Hivi hao wenyeviti wa kamati/vyama...
2 Reactions
7 Replies
492 Views
Bunge ndio chombo pekee ambacho kina mamlaka ya kuisimamia na kuiwajibisha Serikali. Badala ya kupiga makelele ya jumla jumla yasiyo ya Kimkakati,hakikisheni mnafanya hivyo. Rais alishasema...
1 Reactions
7 Replies
476 Views
Mhe. Rais ameweza kujenga Ofisi yake kwenye standard ambazo hakuna msaliti anayepata mwanya; hii imepelekea mambo yafuatayo kwenda kama Ofisi ya Mhe. Rais inavyopaswa kuwa 1. Ofisi yake Kwa sasa...
0 Reactions
11 Replies
940 Views
Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo? Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Baada ya report ya CAG na kinacho endelea kwenye mitandao ya kijamii hasa Jm kimenifanya niingie chimbo kutafuta mageuzi yalio letwa kwa raia kulalamika, nimetafuta nimekosa. Sasa sisi Wabongo ni...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Kama kweli rais wa jamhuri ya muungano ni rais wa wanyonge kama anavyojiita,awapo ziarani mkoani Simiyu naomba akayatoyalee ufafanuzi haya; Huduma za afya katika hospital za mkoa huo ni mbovu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kashfa nyingi za ripoti ya CAG kwa mwaka jana na mwaka huu zimetendwa wakati wa Magufuli; ndege, nishati, mashirika ya umma ikiwemo TTCL yanatuhimiwa kuiba au kusababisha upotevu wakati wa...
1 Reactions
1 Replies
716 Views
Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo: 1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Wabunge kila Siku wanamshukuru Rais Samia kwa kuwapelekea Fedha za shughuli mbalimbali Je, kuwapelekea Fedha siyo ndio kuidhinisha au mimi ndio najichanganya Kwa sababu kimsingi Bajeti...
14 Reactions
32 Replies
1K Views
DENI LA TPDC Huu ni mkopo wa shirika kupitia hazina kutoka EXIM BANK CHINA kwaajili ya mradi wa gesi wa mtwara na songo songo kuja Dar lakini ilipofika DAR badala ya kumalizia usambazaji wa gesi...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Ili kila mwanajamii forums aipitie kwa muda wake aone Madudu yaliyomo,mimi niko busy kwa sasa ila kesho asubuhi ndio nitaipigia taratibu sana USSR Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 6, 2023 kwenye Mkutano wa 11, Kikao cha 3. RIPOTI YA CAG YALETWA BUNGENI Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imepelekwa Bungeni...
3 Reactions
53 Replies
10K Views
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha. Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema. Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa...
25 Reactions
236 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…