Report kamili ya CAG ya mwaka 2022-2023

Report kamili ya CAG ya mwaka 2022-2023

Ili kila mwanajamii forums aipitie kwa muda wake aone Madudu yaliyomo,mimi niko busy kwa sasa ila kesho asubuhi ndio nitaipigia taratibu sana

USSR View attachment 2579022

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukishaipitia yote ukaona hayo unayoyaita madudu utafanyaje? Hiyo ripoti haina madudu yo yote bali kuna audit queries tu aka hoja za ukaguzi ambazo maafisa masuruli husika wanaulizwa watoe majibu. Hujaulizwa wewe. Majibu ya maofisa masululi hao watayapeleka kwa kamati husika za bunge. Wabunge wakiridhika hoja hizo hufufutwa. Wabunge wasiporidhika na majibu ya maofisa masuluri watatoa tu maadhimio/ ushauri kwa srikali napo ndipo unakuwa mwisho wake. Madudu yanaashughulikiwa na mamlaka ya TAKUKURU na hupelekwa mahakamani siyo bungeni.
 
Umepanic
 
CAG hufanya ukaguzi wake kwa kutumia nyenzo zake, kinachoandikwa kwenye ripoti yake ndio matokeo ya uchunguzi aliofanya, sasa kama kwenye uchunguzi wake akiona kuna kiasi kimepotea maana yake tumeibiwa, kuuita huu wizi "hoja za ukaguzi" ndiko kunasababisha tuzidi kuibiwa..
 
Usipanic tulia basi
 
Unajiita Dk wewe utakuwa na ugonjwa wa akili sio bure

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG hufanya ukaguzi wake kwa kutumia nyenzo zake, kinachoandikwa kwenye ripoti yake ndio matokeo ya uchunguzi aliofanya, sasa kama kwenye uchunguzi wake akiona kuna kiasi kimepotea maana yake tumeibiwa, kuuita huu wizi "hoja za ukaguzi" ndiko kunasababisha tuzidi kuibiwa..
Siyo lazima kila audit query kuna wizi bali mapungufu mengine huwa yapo kwenye nyaraka tu ndo maana wahusika wa zile queries wanapaswa kuzifanyia kazi na kutoa majibu sahihi. Mbona tumeziona queries nyingi tu zinakuwa hazina uhalisia na mwisho wa siku zinakuwa cleared. Haya mambo ya wanasiasa akina Dr. Musukuma ndo yanayowamislead Watanzania walio wengi wasiojua maana ya auditing.
 
Ilani Ya Ccm Inasemaje Maana Tumechanyikiwa Mno Tukimsafisha Hasafishiki
 
Siyo lazima kila audit query kuna wizi bali mapungufu mengine huwa yapo kwenye nyaraka tu ndo maana wahusika wa zile queries wanapaswa kuzifanyia kazi na kutoa majibu sahihi. Mbona tumeziona queries nyingi tu zinakuwa hazina uhalisia na mwisho wa siku zinakuwa cleared. Haya mambo ya wanasiasa akina Dr. Musukuma ndo yanayowamislead Watanzania walio wengi wasiojua maana ya auditing.
So kwanini hawakufanya hizo clead kabla ya kuleta kwa jamii, wameleta ya nini kama kulikuwa na muda na hatua za kufanya hayo ,sisi tunakula mlicho tulisha

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So kwanini hawakufanya hizo clead kabla ya kuleta kwa jamii, wameleta ya nini kama kulikuwa na muda na hatua za kufanya hayo ,sisi tunakula mlicho tulisha

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuclear queries si jambo la papo kwa hapo, Auditor yeye akishapita kamaliza kazi yake anatoa ripoti baada ya hapo ndo muhusika anaifanyia kazi hiyo ripoti, hiyo ndo maana halisi ya ukaguzi ama kutakutwa mapungufu au hayatakuwepo.
 
Kama ni hivyo na kila mara mnasikia serkali ikiweka report tu wananchi hawaelewi wanakuja juu ,je mmetoa elimu ya juu ya report ili kupunguza kelele,kama hamjatoa elimu mnamlilia nani? Wacha wananchi wawafunze

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom