Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,237
Reaction score
98,199
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.
 
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Toka nlivyoona mama kampa "kibubu cha nchi nljua tumepigwa....100%
 
Tanzania inabahati mbaya sana ni sawa na ng'ombe wa masikini! Kama ilivyo ada kwamba, ng'ombe wa masikini hazai, akizaa huzaa dume!

Tanzania Imekosa kuingo mhimu sana temu hii, hatuna Waziri wa Mapesa sisi!

Aliyepo ni bora liende, hawezi kumsaidia mama!

Ni sawa na mwanake anayemkataa mwanaume mwenye vision ila anataka mwanaume mwenye television, hajui kwamba huyo mwanaume mwenye vision itatokea amuone kwenye television ya mwaume wake!

Nahisi hata sisi kama nchi, tumewakataa watu wenye taaluma zao tukataka watu wenye mataaluma! Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom