Ziara ya Rais Magufuli mkoani Simiyu

Ziara ya Rais Magufuli mkoani Simiyu

lnx

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
387
Reaction score
295
Kama kweli rais wa jamhuri ya muungano ni rais wa wanyonge kama anavyojiita,awapo ziarani mkoani Simiyu naomba akayatoyalee ufafanuzi haya;
Huduma za afya katika hospital za mkoa huo ni mbovu sijawahi kuona hasa hasa wilaya ya Maswa ambayo kwa hakika kama kuna mwingine anaifahamu vizuri hii halmashauri bila shaka atakubaliana na mimi kwa hili.

Pili kuna waajiliwa wapya wa mwaka jana(2017) hawakulipwa stahiki zao kwa maana ya hela ya kujikimu hadi leo na majibu wanayokuwa wanajibiwa na wahusika kwa maana ya wakurugenzi na wakuu wa idara zao husika hakika yanatia ukakasi,kwa kuanzia hayo tu naomba ayasemee japo kuna mengine mengi ambayo kama kweli anania njema na wananchi wa mkoa huu atayafukuwa na kupata ukweli wake.
 
subiri kuna takataka zitakujibu, naona zimeanza
 
JIWE-mashetani yamenipanda !
MKUU WA MKOA- hapa hapa !
JIWE- hili ni jini makata!
MKUU WA WILAYA- sema baba! sema!
JIWE-linakata kata ! kila kona kona !
DED- hear ! hear !
JIWE- hawa ni vichaa wenzagu !
WANANCHI WA SIMIYU -asante baba! Simiyu hoyee !
You have made my day! Salary Slip Sky Eclat nimecheka sana!
 
amepoteza mvuto...jana nilipita baa moja TBC wako LIVE kurusha ziara ya Simiyu lakini hakuna mtu alikuwa anatizama. mimi nilikatiza tu nilikuwa na safari zangu kuelekea maliwatoni.
 
Bar ndizo zimepoteza mvuto kwa watu kukosa pesa, unadhani mtu ataenda kukaa bar kutazama hotuba bila kuwa na bia.
 
Kwani wakati watu walipokuwa wanaangalia enzi hizo kila mtu alikuwa na kinywaji mkononi? Ni hivi, kuna kitu kinaitwa mvuto. Hata uimbe wimbo mzuri vipi na wenye maudhui mazuri sana, kama wimbo wako hauna mvuto hauna tu. Utashangaa wimbo wenye mvuto watu kibao hata kama hauna maudhui mazuri.
 
Kama kweli rais wa jamhuri ya muungano ni rais wa wanyonge kama anavyojiita,awapo ziarani mkoani Simiyu naomba akayatoyalee ufafanuzi haya;
Huduma za afya katika hospital za mkoa huo ni mbovu sijawahi kuona hasa hasa wilaya ya Maswa ambayo kwa hakika kama kuna mwingine anaifahamu vizuri hii halmashauri bila shaka atakubaliana na mimi kwa hili.

Pili kuna waajiliwa wapya wa mwaka jana(2017) hawakulipwa stahiki zao kwa maana ya hela ya kujikimu hadi leo na majibu wanayokuwa wanajibiwa na wahusika kwa maana ya wakurugenzi na wakuu wa idara zao husika hakika yanatia ukakasi,kwa kuanzia hayo tu naomba ayasemee japo kuna mengine mengi ambayo kama kweli anania njema na wananchi wa mkoa huu atayafukuwa na kupata ukweli wake.
N hoja nzuri, ila kwa kuwa haina u-Chadema vs u-Ccm haitapata wachangiaji.
Mm kwa upande wangu natofautiana na wewe. Mkoa wa Simiyu umepata upendeleo ambao sijapata kuona: wakati hospital ya mkoa wa Mara ina miaka 41 haijamalizka, Simiyu ndan ya miaka 2 imefungua hospital ya rufaa; simiyu ina taa za barabaran, uwanja wa ndege wa kimataifa Serengeti umehamishiwa huko, bara2 ya Arusha to Musoma nayo haitapta Serengeti tena bali itaptia Lalago huko Simiyu, Simiyu kunajengwa stendi ya kimataifa ya magari, mmepata vituo vng vya afya kuliko mkoa mwingne wwote Tz, nk...
 
Leo sitaki maneno na mtu NDIYO nimekubali.
 
Ni kweli kabisa tatizo lipo kwa wasaidizi wake ambao wanapaswa kufanya kama taratibu zinavyosema,mfano unaenda hospitalini huduma unazopewa ni tafauti na stahiki zako na siyo kitu cha ajabu kwenda hopistal ya wilaya saa 2 asubuhi ukafikisha hadi saa 6 au 8 mchana hujapata huduma au mtu unamadai unaenda kwa mkuu wako wa idara anakuambia unadai hela hiyo kidogo wakati yeye(mkuu wa idara)anadai serikali pesa nyingi sana huku yeye ana malupulupu kibao na anaelekea kustaafu halafu wew ndiyo umeajiliwa mwezi juzi,hapo imekaaje kweli!
 
N hoja nzuri, ila kwa kuwa haina u-Chadema vs u-Ccm haitapata wachangiaji.
Mm kwa upande wangu natofautiana na wewe. Mkoa wa Simiyu umepata upendeleo ambao sijapata kuona: wakati hospital ya mkoa wa Mara ina miaka 41 haijamalizka, Simiyu ndan ya miaka 2 imefungua hospital ya rufaa; simiyu ina taa za barabaran, uwanja wa ndege wa kimataifa Serengeti umehamishiwa huko, bara2 ya Arusha to Musoma nayo haitapta Serengeti tena bali itaptia Lalago huko Simiyu, Simiyu kunajengwa stendi ya kimataifa ya magari, mmepata vituo vng vya afya kuliko mkoa mwingne wwote Tz, nk...
Nadhani kunakitu hukuelewa kuhusu hospitali ya mkoa wa Mara, ni kwamba iyo ni hosp mpya inayojengwa, na si kwamba hospitali iliyopo sasa ndio inaendelewa kujengewa.(Mara wana hospitali ya mkoa ambayo ina miundombinu sawa tu na hospitali zinginezo za mikoa, iyo hospitali mpya ambayo haijakamilika ni project tofauti).
 
Mkuu naona wewe ndo hujaelewa... hospital inayotumika sasa kama hospital ya mkoa wa Mara kilikuwa n kituo, iliteuliwa itumike kwa muda wakati serikali inajpanga kujenga hospital ya mkoa; kama ilivyo kwa Simiyu ambao walikuwa wanatumia kituo cha Somanda
 
Kama kweli rais wa jamhuri ya muungano ni rais wa wanyonge kama anavyojiita,awapo ziarani mkoani Simiyu naomba akayatoyalee ufafanuzi haya;
Huduma za afya katika hospital za mkoa huo ni mbovu sijawahi kuona hasa hasa wilaya ya Maswa ambayo kwa hakika kama kuna mwingine anaifahamu vizuri hii halmashauri bila shaka atakubaliana na mimi kwa hili.

Pili kuna waajiliwa wapya wa mwaka jana(2017) hawakulipwa stahiki zao kwa maana ya hela ya kujikimu hadi leo na majibu wanayokuwa wanajibiwa na wahusika kwa maana ya wakurugenzi na wakuu wa idara zao husika hakika yanatia ukakasi,kwa kuanzia hayo tu naomba ayasemee japo kuna mengine mengi ambayo kama kweli anania njema na wananchi wa mkoa huu atayafukuwa na kupata ukweli wake.
Huu ndio ujinga unaosemwa kila siku..DC yupo RC yupo, kwa hiyo Rais asipokuja unafanya nini na hayo matatizo?
 
ukweli mchungu huo pole
Halafu wakisema kuwa ni Nyumbu mnaanza kulalamika, hivi tangu lini Bar zikawa Official kwa ajili ya kuonesha Hotuba.

Zile ni sehemu za starehe ukipita kuangalia watu wanaotazama hutoba sehemu hizo na kuja kusema kuwa Rais kapoteza mvuto ni Ujinga, bar majukumu yake sio hayo.

Pumbavu.
 
hana mvuto bwana kubali tu...ndiyo maana kutwa kuzurura kutafuta attention.
 
Back
Top Bottom