silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,161
- 1,536
Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo:
1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka.
2. Kupinga uvunjwaji wa nyumba za kilimani.
3. Amemshutumu Mwinyi kukosa uzoefu wa mambo ya kiuchumu, kwa vile yeye ni daktari na sio mchumi.
4. Amekosoa kitendo cha Mwinyi kuteuliwa na mtu mmoja tu ambae keshakufa.
Nb. Hii ni mara ya pili kwa mwinyi kukosolewa na wanaccm wenzake. Kawaida Rais hukosolewa na wapinzani, kitendo cha wana-CCM kumkosoa tena hadharani ni jambo la kushangaza sana.
Maoni yangu MWINYI ajitathmini sana na sera zake kwani inaonekana zimefeli kwani kila kukicha Zanzibar kodi zinapandishwa, kuzorota kwa bandari, mji kuwa mchafu kupindukia, barabara kujaa mashimo na mavumbi na pia kukosa kwa focus kwani anataka kufix kila kitu bila kua na rasilimali na katika muda mchache jambo linalopelekea ugumu wa maisha kuzidi Zanzibar licha ya kuahidi neeema tupu.