Nimeshangaa sana mwalimu mwenzangu kunibwatukia na kunizuia kujadili suala muhimu kama hili
Sawa tupo kazini. Ofisini tusijadili kisa tu sisi ni walimu?
Kosa nini kuwa mtumishi wa umma usijadili...
Tume ya Chande iliteuliwa na watawala ikiwa na malemgo ya
Kupata ukweli wa nini kilitokea? Nani alihusika? Na kwa nini ilitokea hivyo?
Kuwajibisha ikiwa kuna mtu alikiuka sheria au maadili
Kutoa...
Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande...
WARIOBA NI MTU WA HOVYO SANA...
Kuna muda tunajizuia sana kuongea juu ya huyu mzee lakini tunashindwa kabisa kwa kuwa ana mambo ya hovyo sana na amezanza huu uhovyo muda mrefu sana..
Jose yeye...
Sote ni mashuhuda kwamba,
katika majukwaa mbalimbali humu JF, kumezuka na kuibuka wimbi kubwa sana la baadhi ya wadau wa JF kujidhirisha pasina shaka yoyote kwamba wao ni kundi la mamluki wa...
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA...
Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini.
Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake...
HIZI NI SHERIA ZA NDOA ZA WATIBELI ZINAZOTUFANYA TUISHI DUNIANI KAMA TUPO PEPONI. MKITAKA MNAWEZA KUZIKOPA ZITAKAZOWAFAA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Nimeona serikali ikitaka wadau na...
The JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) system is, in structural terms, a radicalization pipeline that the state itself operates — not intentionally, but through the gap between what it promises and what...
Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena.
Pale ambapo taifa limepata ajali...
Sera ya matibabu bure haitufikii vyema wanawake, kumwambia Mwanamke wa kijijini achangie 250,000 kwa ajili ya upasuaji, ni gharama kubwa sana hivyo wanawake wanaona bora wakajifungulie nyumbani...
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.
Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!
Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA...
Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) (barua ya tarehe 07 Mei, 2026 yenye kumbukumbu namba HA. 322/362/16A/22) akikitaka kijieleze kwa nini...
𝗗𝗸𝘁. 𝗠𝘄𝗶𝗴𝘂𝗹𝘂 𝗡𝗰𝗵𝗲𝗺𝗯𝗮: 𝗞𝗶𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝘇𝗶, 𝗞𝗮𝘀𝗶 𝗻𝗮 𝗠𝘇𝗮𝗹𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗮𝘀𝗶𝘆𝗲𝗰𝗵𝗼𝗸𝗮
Katika kipindi cha siku chache tu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba ameendelea kudhihirisha...
Jaji Chande, Jaji Ibrahim Juma, Jaji Mwambegele na Jaji Francis Mutungi.
Hawa ndiyo Majaji walioshusha hadhi ya mahakama hapa Tanzania. Hawa ni Majaji macho kumchuzi. Hawa ndiyo wamewafedhehesha...
RAIS DKT. SAMIA & AFRICA CDC WAJADILI AJENDA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha...
Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo amesema kwa asilimia kubwa wabunge wanasahau uhalisia wa maisha ya wananchi kutokana na kulipwa stahiki bora na kuwa na maisha mazuri.
Akizungumza...
Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya...
Tunaandika hukumu, wenye interest nazo wanazisoma, mahakimu wana hekima hawa, acha tu.
Majaji mkiwaona muwaheshimu, halafu wengine wameanzisha tabia ya kuwatukana Majaji, mahakimu na nini, si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.