MBUNGE JANETH MAHAWANGA AITAKA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Tisha Mama Foundation Mhe. Janeth...
Kwa Nini mkuu wa wilaya ya Urambo yupo kazini mpaka leo? Waziri wa Afya watu wako wanaua watoto.wetu mpaka leo unachunguza?
Mkuu wa wilaya Alie ungana na wauaji anafanya Nini ofisini?hii ndio...
Jana ilikuwa siku ngumu kwa waziri wa Fedha Mhe Dr mwigulu nchemba kila mfanyabiashara wa Maduka kariakoo au kutoka mikoa mbalimbali tuhuma zilielekezwa kwa Dr mwigulu.
Waziri mkuu alisimama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba...
Kwema Wakuu!
Ndio nimeamka sasa hivi Hapa, nikaota na kuambiwa kuwa JPM alipambana na maadui Bandia huku akiwaacha Maadui halisi wakipeta. Ndoto hiyo ambayo nina uhakika nayo Kwa Asilimia Mia...
Kiukweli tangu juzi nafuatilia Operesheni +255 ya Chadema na sijabahatika kumsikia Mbowe au Tundu Lisu akililia Haki kwa George Sanga
Chadema kama mnaweza kupigania akina Halima James Mdee...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 29 leo Mei 19, 2023.
Akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Tumeona Nape Nnauye na genge lenu walamba asali mlivyojitahidi kuuaminisha umma kwamba Kigogo wa visasi alipendwa sana!
Mmetumia kila aina ya lugha za kinafiki,na ufitinishi ili tu kumpamba mzee...
Katika pita pita yangu huko twitter nimekutana na page ya Bernard Membe na kuna tweet yake akitoa maelezo kuhusu fedha za deni la Libya. Ikiwa na kichwa cha habari
Maelezo Kuhusu Fedha za Deni la...
Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.
Pamoja na yote...
Awamu ya sita imefanya kikao cha wazi na wafanyabiashara pale Mnazi Mmoja na kamera za runinga zimeweka ushahidi wote hadharani. Hiki ni tofauti kidogo na kile kikao cha hayati JPM alichofanya na...
Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani.
Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya...
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea...
Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi...
Hii ilikuwa ni sheria Ugiriki ya zamani kwamba kama kuna mgogoro katika jamii halafu wapo raia wengine hawana interest, wanasubiri tu kupokea lolote litakalotokea, basi, wanapoteza haki zote ya...
Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu.
Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila?
Acheni maneno...
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo
Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo...
Jambo Jambo?
Wakati wa uzinduzi wa barabara ya Mto wa Mbu-Loliondo yenye kilometa 217 na sehemu ya wasso -sale yenye kilometa 49 mhe.makamu wa raisi Dkt.Mipango amekabidhiwa kifimbo hicho...