Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sakata la Kariakoo limeonyesha wazi namna nchi inavyonuka rushwa za waziwazi. Hii ni sehem moja tu iliyomulikwa na inaonyesha watumishi wa umma has TRA na FORODHA wanavyokula kwa urefu wa kamba...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Ningependa kutoa ushauri wangu juu ya tathmini fupi nilioifanya kwa macho na kwa kutafakari juu ya baadhi ya idara mbalimbali hapa nchini. 1. Nikianza na TISS ningependekeza kuwe na idara mbili...
2 Reactions
7 Replies
853 Views
Nchi hii ina Wanasiasa Watata sana Tundu Antipas Lissu anesema yeye ni Yanga lakini Jezi ya klabu yake hawezi kuvaa asilani Je, unajua kwanini?
1 Reactions
15 Replies
983 Views
Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati. Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo. Tupe...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwantumu Dau Haji ambaye ametajwa kama Mbunge wa Viti Maalum , amependekeza bungeni kwamba , wale wote wanaobakwa wakishakamatwa wapewe pombe ya kupunguza nguvu za kiume ili wasibake tena . Toa...
1 Reactions
8 Replies
959 Views
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza .... Naomba nikukumbushe kwa FACTS: Mauaji ya Waisilamu...
82 Reactions
900 Replies
88K Views
Mgomo wa Kariakoo umeibua mengi, lakini pamoja na kuonyesha madudu ya uncontrollable TRA na rushwa za nje nje zilizoishinda serikali kuzikabili, mgomo umeibua jambo serious la utendaji chini ya...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwangu mimi kauli Hizi za Viongozi wakongwe zimebeba ujumbe mzito sana Kikwete anasema aliumia sana Membe alipohamia ACT Wazalendo Ndugai anasema mzee Malecela alikuja nyumbani kwake usiku na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimeona kupitia Jambo TV Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria mh Wenje akidai Mabango yenye picha za Rais Samia yaliyoko barabarani yameigharimu Serikali tsh 300 Bilioni Fedha za Walipa...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Prof. Sospeter Muhongo - Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba/Maabara Prof. Sospeter Muhongo Akiishauri Wizara ya Elimu, Sayansi & Teknolojia Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof...
2 Reactions
7 Replies
686 Views
Ni Ushauri tu Kama itawapendeza Igeni utaratibu wa Shujaa Magufuli wa kuzindua miradi mara mbili Ili kuwakumbusha waliosahau Jana kiukweli hakuna aliyefuatilia Operation +255 kwani Mjadala wa...
3 Reactions
14 Replies
543 Views
Bandari ya Dar es salaam, Soko la Kariakoo Mpaka wa Tunduma ungeweza kutengeza almost robo tatu ya mapato ya Serikali kama tungekuwa na revenue strategist ndani ya Mawizara yetu tajwa hapo juu...
2 Reactions
4 Replies
625 Views
Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Siyo kawaida kukuta TBC, ITV, Channel ten, Star tv, Azam, Eatv, Upendo tv zinarusha mubashara tukio Moja Ni Clouds tv pekee ndio hawakujishughulisha Hakika Wafanyabiashara ni Jeshi kubwa!
1 Reactions
7 Replies
1K Views
ESTHER MALLEKO AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024 Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 16 Mei, 2023 Bungeni jijini Dodoma amechangia...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
TAKUKURU ingieni kazini ili mjue sababu zilizosababisha taarifa kubwa ya Mkulima kuwashtaki wabadhirifu wa mali za umma waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 kutoripotiwa na vyombo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuache siasa kwenye mambo yaliyotungiwa sheria na bunge na ambayo mtu binafsi kama waziri mkuu hawezi kuyatengua kwa maneno ya jukwaani bila barua au muongozo Matamko ya waziri mkuu kassim...
12 Reactions
22 Replies
4K Views
Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya...
1 Reactions
7 Replies
786 Views
Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom