-Nikiwa Mwana CCM mkongwe, napenda nitoe dukuduku zangu kuhusiana na mienendo ya ndugu zetu Nape Nnauye pamoja na William Malechela ambao dhahiri wanakiangamiza chama siyo kwa kusimamia na kutetea...
Siku zote umoja na mshikamo ndio nguzo ya Taifa lolote, Taifa lolote likikosa huo umoja linakuwa hatarini na kuwapa maadui wa Taifa hilo nafasi ya kulishinda.
Ndio maana baada ya Maandamano ya...
Idara ya ACT Wazalendo ya Kuisimamia Serikali (Baraza Kivuli la Mawaziri) linafuatilia kwa karibu mgomo wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo (JWK) uliotangazwa kuanza leo Mei 15, 2023 na...
Mimi si mtu wa siasa ila kama mdau wa uchumi ninatamani niongelee mambo kadhaa katika context hii ya kiuchumi.
1. There is no way tax payer amewahi kukubaliana na issue inayohusiana na ulipaji wa...
Wasitutishe, wasitubabaishe. Lazima kuwe na tozo na kodi mbalimbali. Haya ma vieti mnadhani ni mengi hivi sababu wajapan wanatupa bure?
Mnadhani yanatumia maji? Au yanatumia upepo? Burundi...
Na Sadick Mtulya
MWANASIASA kijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa chama hicho, wilayani Tarime mkoani Mara, Livingstone Lusinde amesema mwanasiasa mkongwe nchini, John Malecela (75) ni...
Halakini wabunge wamemuomba awaachie hii ishu kwa sababu akifika mahakamani jaji atazuia kumtesa tena na maneno kama wanavyofanya sasa hivi, kabla ya kumfikisha huko,
According to the dataz ni...
Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ.
Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu...
- Haya wakuu habari nilizozipata sasa hivi toka ndani ya mkutano wa siri sana ni kwamba mgombea Masauni, nidye ameibuka mshindi wa uchaguzi huo baada ya kuwashinda wagombea wengine.
- Uchaguzi...
Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye...
THOMAS Nkola maarufu kama mkulima na mfugaji amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuwashitaki baadhi ya mawaziri, wakuu wa taasisi za umma na kampuni binafsi.
Nkola ameomba...
Ama hakika kabla hujafa hujaumbika , Enyi vijana mnaopata vyeo vya kuteuliwa kuweni waangalifu mno pale mnapotenda majukumu yenu , hivi vyeo na hayo masaluti mnayopigiwa ni vya muda mfupi sana na...
MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA
Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba...
Wakuu wote JF, wasalaaam waleiykum!
- Katika siku za karibuni wananchi wa Tanzania tumejionea jinsi watawala wetu either wasivyo na maadili na uongozi tuliowapatia kama dhamana tu, wasivyo na...
Polepole ni mzalendo Wa Kweli.
Nitamuombea Kwa Mungu muweza Wa Yote Ili amlinde na kumpa ushindi dhidi ya adui ZAKE na adui Wa Taifa hili Kama Mfalme Daudi. Tunamuhitaji Polepole kuliko wakati...
- Heshima mbele wakuu wote JF, baada ya muda mrefu sana tupo wote tena unajua mishe mishe ya maisha.
Leo ya ustaafu kutoka kwenye siasa zetu Tanzania, I mean tufike pahali tujikite as a nation...
Na Alfred Lucas
Mwanahalisi~Maslahi ya taifa Mbele
MFANYABIASHARA na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz amesitisha uchapishaji magazetini wa taarifa yake ya kukana tuhuma za ufisadi.
Taarifa...
MBUNGE KWAGILWA REUBEN NHAMANILO AZUNGUMZIA UPOTEVU WA FEDHA ZA MADAWA MSD NA WASHITIRI
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya...