Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu Mei 16, 2023 Mtumba jijini Dodoma, ameongoza kikao kati ya Wizara yake na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambayo...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Kurejeshwa Makalla ndani ya mfumo mwaka 2021 na kuwa RC Dar es Salaam tukubali ama tukatae ipo nguvu ya ushawishi wa JK ilitumika kumshawishi Rais Samia. Ieleweke, Makalla ni swahiba na mwandani...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria? Jambo kubwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Misiba na kunji la wafanyabiashara kariakoo limepooza ile jamba jamba iliyoletwa na NEMC wiki iliyopita. Kama ilivyoada na desturi sie great thinkers lazima tupate muda wa kudurusu zilizo kick na...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
MBUNGE OLIVER SEMGURUKA AIOMBA SERIKALI KUKAMILISHA HUDUMA ZOTE ZA AFYA MKOA WA KAGERA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera Mhe. Oliver Semguruka amechangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma. Ndege hiyo...
17 Reactions
150 Replies
14K Views
Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais. Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA. Na hata wakiupata...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Mhe. Rais tarehe 28.04.2023 nilikuandikia makala yangu niliyoipa jina la "Sikiliza mama", katika makala ile nilieleza namna ambavyo utawala wako umeshindwa kutatua kero na matatizo ya wananchi...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Uhamisho wa Wakuu wa Mikoa naona ni mkakati wa Samia kujipanga na kujiimarisha kisiasa mifano miwili ni Chalamila kuja Dar es Salaam hii kwamba Dar es Salaam ya wafanyabiashara wakinga wengi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hakika Mungu hadhihakiwi! Mungu sio Athumani! Ni Kama Vile Mungu ameanza kuonyesha makasiriko yake dhidi ya dhihaka zilizofanywa kwa mtu aliewahi kutaka kuirudisha nchi yetu kwenye msitari wake...
31 Reactions
89 Replies
5K Views
Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Ni kweli kabisa wanasiasa akili zao wote zinafanana. Mwanasiasa siku zote yupo kwa ajili ya kutafuta maslahi yake na familia yake kwa kivuli cha kuwapigania wananchi ila muda huwa unawasuta...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Jiji la Dar es salaam linahitaji Viongozi aina ya Albert Chalamila wanaosema na kutenda siyo hao mapapaa. Sisi Wahenga tunaupokea Uteuzi wa Rais Samia kwa mikono miwili. Na yeye Chalamila...
1 Reactions
0 Replies
529 Views
Kwa Tanzania bila kutumia nguvu au kukata kodi kwa lazima hakuna ambaye yupo tayari kulipa kwa hiari Ukiwauliza wafanyakazi kama kodi ya Pay as you earn(PAYE) ingekuwa unapeleka mwenyewe baada ya...
0 Reactions
5 Replies
569 Views
"Hakuna mtumishi wa serikali ambaye anapaswa kumdharau kiongozi wake wa juu, Rais wetu, Makamu wa Rais hata Waziri Mkuu popote anaposimama wale walioko chini yake hilo lililotamkwa na yeye ni...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
UHAYA WETU SIYO SHIDA, CHALAMILA TAFUTA SULUHISHO. Anaandika Mo Mlimwengu. Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za hapa Jukwaani. Serikali ya Halmashauri Manispaa ya Kahama wanaendesha zoezi la kukagua bidhaa zilizoExpire pamoja na bidhaa ambazo haziruhusiwi kuuzwa. Ni jambo jema sana. Ijumaa...
0 Reactions
7 Replies
691 Views
Kumekucha tena wanajukwaa la JF, Msakatoke mwenzenu nimejaliwa siku mpya tena pamoja na familia yangu. Ntakua mchoyo wa shukrani bila kusema: Asante Muumba kwa siha njema na faragha. Amma baadu...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
TRA mnakumbuka hii kauli ya Rais? Mmefikia wapi? Jana nimesikia TRA kwa upande wa kodi ya majengo wamepata msamaha wa riba kuanzia July hadi December. Mbona kwa wafanyabiashara zingine hatusikii...
1 Reactions
5 Replies
855 Views
Nimeona mipango ya waziri bashe, mipango imejaa maneno matamu na porojo nyingi. Bahati mbaya wengi hupenda hizi porojo kuliko uhalisia. Bashe kwenye mipango yake kufikia 2025 wizara imepanga...
14 Reactions
123 Replies
8K Views
Back
Top Bottom